Children Hope Organization position for organization management team

Apr 23, 2024
9
3
IMG-20240419-WA0006.jpg
Children Hope Organization ni shirika lisilo la kiserikali, limeundwa na bodi ya Wakurugenzi 5 wenye Nia ya kulisaidia Taifa katika kuleta maendeleo katika jamii kupitia ufadhili wa mtoto, hivyo bodi ya Wakurugenzi inaomba raia watakaowiwa kufanya kazi nasi katika kuleta maendeleo katika jamii zetu Tanzania.
Nafasi za management
1. Sponsorship and child well being officer
2. Development and engagement officer
3. DM&E officer
4. Project coordinator
5. Education Facilitator
Wasiliana nasi kupitia children_hope@yahoo.com/monksibanda@gmail.com au Kwa mawasiliano 0743854820/0623690833
Pia Usajili wa uanachama wa Children Hope Organization unapatikana Kwa ada nafuu Kwa Kila mtanzania.
Link to Instagram Login • Instagram
 
View attachment 2972665Children Hope Organization ni shirika lisilo la kiserikali, limeundwa na bodi ya Wakurugenzi 5 wenye Nia ya kulisaidia Taifa katika kuleta maendeleo katika jamii kupitia ufadhili wa mtoto, hivyo bodi ya Wakurugenzi inaomba raia watakaowiwa kufanya kazi nasi katika kuleta maendeleo katika jamii zetu Tanzania.
Nafasi za management
1. Sponsorship and child well being officer
2. Development and engagement officer
3. DM&E officer
4. Project coordinator
5. Education Facilitator
Wasiliana nasi kupitia children_hope@yahoo.com/monksibanda@gmail.com au Kwa mawasiliano 0743854820/0623690833
Pia Usajili wa uanachama wa Children Hope Organization unapatikana Kwa ada nafuu Kwa Kila mtanzania.
Link to Instagram Login • Instagram
Hapo katika education facilitator

Naomba uniweke hapo mkuu
 
Chalii unatangaza kazi afu unawaomba watu hela

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Niambie kikundi Gani kilichosajiliwa kihalali na government under NacoNGO, kinaweza toa nafasi za kujiunga na management kuu ya organization free ukilipata Hilo shirika nambie. Sijatangaza kazi ila kama ulisoma vizuri Kwa upana wako utaona mahitaji members wakutusaport katika bodi ya Wakurugenzi ambao watabe registered under NacoNGO na kuwa member halali Sina mengi maana atakaewiwa tutakuwa nae.
 
Back
Top Bottom