Channel ten na TBC live katika simu.Kwa nini ITV mnasuasua?

Mkuu Rutunga M , hii app ni nzuri sana ila bado haijawa stable kwenye upande network unaweza kutizama video YouTube bila kukumbana na tatizo la ku buffer ila ukija kwa simu.tv unakumbana na hilo tatizo..

Startv ilikuwepo ila naona imeondolewa hivi karibuni
 
Last edited by a moderator:

ukiona hivyo ujue server zao kimeo. wanatakiwa wanunue server zenye speedbkubwa ya internet ili waweze ku uploadia watu wengi kwa mpigo.

server za youtube sio mchezo kaka.
 
Na huo ndio ukweli wenyewe. Sasa changamoto ni kuwa wao wanaingiza kipato kipi kupitia hii app hadi waweze ku-upgrade server zao maana inahitaji pesa mkuu
 
Back
Top Bottom