CHADEMA hoja ya Kikwete ni ya ovyo; ana majukumu ya kimataifa

Ukimtegemea Kikwete akae Msoga wewe utakuwa humjui Kikwete

After retiring from distinguished public service career, both in the Tanzanian government and subsequently in international and regional organizations,, President Kikwete has dedicated himself to advancing progressive policies for education and women's and children's health.

H.E. Jakaya Mrisho Kikwete joined the Global Partnership for Education as Chair of the Board of Directors in September 2021.

Play pivotal roles in regional cooperation, including as Chair of the African Union and Chair of the Southern African Development Community Troika on Peace, Defense, and Security.

served as a special envoy for the International Commission on Financing Global Education Opportunity, leading high-level delegations to 14 countries across Africa.

Holds a number of other international roles, including Co-Chair of the UNFPA High Level Commission on the Nairobi Summit on ICPD25, Co-Chair of the Refugee Council, Member of the High-Level Panel on Every Woman, Every Child, and Every Adolescent, Member of the High-Level Panel on Scaling Up Nutrition, Member of the End Malaria Council, and a Board Member of Nutrition International.

On the African continent, he is a member of the board of the Alliance for the Green Revolution in Africa and chair of the board of the Global Water Partnership for Africa and Southern Africa.
Hu mpumbavu kama wapumbavu wengine, wapi umemuona Uhuru KINYATA AKIAMBATANA NA RUTO, Kwani nchi hii mstaafu ni Kikwete tu, tueshimiane na kauli ya chadema hieshimiwe ,pumbavu sana
 
Ukimtegemea Kikwete akae Msoga wewe utakuwa humjui Kikwete

After retiring from distinguished public service career, both in the Tanzanian government and subsequently in international and regional organizations,, President Kikwete has dedicated himself to advancing progressive policies for education and women's and children's health.

H.E. Jakaya Mrisho Kikwete joined the Global Partnership for Education as Chair of the Board of Directors in September 2021.

Play pivotal roles in regional cooperation, including as Chair of the African Union and Chair of the Southern African Development Community Troika on Peace, Defense, and Security.

served as a special envoy for the International Commission on Financing Global Education Opportunity, leading high-level delegations to 14 countries across Africa.

Holds a number of other international roles, including Co-Chair of the UNFPA High Level Commission on the Nairobi Summit on ICPD25, Co-Chair of the Refugee Council, Member of the High-Level Panel on Every Woman, Every Child, and Every Adolescent, Member of the High-Level Panel on Scaling Up Nutrition, Member of the End Malaria Council, and a Board Member of Nutrition International.

On the African continent, he is a member of the board of the Alliance for the Green Revolution in Africa and chair of the board of the Global Water Partnership for Africa and Southern Africa.

Hayo majukumu unayodai hayalipiwi na serikali.
 
Kosa analofanya Mbowe ni kudhani Samia is a weak character na leader-sijui kwa vile ile kesi yake ya ugaidi iliwekewa cold room naye akatolewa gerezani kwa mda- maana wakimtaka atarudi huko sasa hivi.
Matamshi hayo yanawezekana katika nchi zinajulikana kama " Banana states." Ni kiasi cha kujiorodhesha na kujipa u Sultani wa bandia tu, basi unakuwa Kiongozi wa Banana state. Mhe. SSH hataki hiyo sifa!
 
Mzee Kikwete anapitiliza hizo roles ni ‘gardening leave’ ya viongozi wa juu serikalini.

Maraisi wanapewa hizo nafasi kama sehemu ya kuzoea lesser roles kutoka kwenye public life taratibu, vigogo serikalini kuwa kwenye body za mashirika ya umma na hata ma CEO wa muda mrefu kupewa miaka miwili ya lesser roles sio lazima kwenda kazini au kufanya maamuzi ya shirika kabla ya kustaafu.

Inakaribia miaka tisa huyo mzee bado hataki kutoka katika public life; afadhali na wengine wameanza kuona inatosha sasa apumzike kuonekana kwenye media kila siku.
Kwani JK amewahi muomba mtu amtumie? Mbona hata Mwendazake alikuwa anamtuma huko Nje mara kadhaa kuanzia South Afrika Hadi Korea?

Public Life ni maisha ya JK na ndio maana ana majukumu ya Kimataifa kuanzia Huko alilotaja mtoa mada Hadi mjumbe maalumu wa UN Sudan na Mwenyekiti wa Wazee wa SADC nk nk.

Hata kwenye private sector ni board member wa Sagot etc.Kama mnaona wivu mtaona sana ndio kwanza anatajwa Kugombea uenyekiti wa Kamisheni ya AU.

Sio Kila mtu amezaliwa kwa wachunga Ng'ombe na good enough JK ana marafiki na network kubwa Duniani.
 
Ukimtegemea Kikwete akae Msoga wewe utakuwa humjui Kikwete

After retiring from distinguished public service career, both in the Tanzanian government and subsequently in international and regional organizations,, President Kikwete has dedicated himself to advancing progressive policies for education and women's and children's health.

H.E. Jakaya Mrisho Kikwete joined the Global Partnership for Education as Chair of the Board of Directors in September 2021.

Play pivotal roles in regional cooperation, including as Chair of the African Union and Chair of the Southern African Development Community Troika on Peace, Defense, and Security.

served as a special envoy for the International Commission on Financing Global Education Opportunity, leading high-level delegations to 14 countries across Africa.

Holds a number of other international roles, including Co-Chair of the UNFPA High Level Commission on the Nairobi Summit on ICPD25, Co-Chair of the Refugee Council, Member of the High-Level Panel on Every Woman, Every Child, and Every Adolescent, Member of the High-Level Panel on Scaling Up Nutrition, Member of the End Malaria Council, and a Board Member of Nutrition International.

On the African continent, he is a member of the board of the Alliance for the Green Revolution in Africa and chair of the board of the Global Water Partnership for Africa and Southern Africa.
Siyo CHADEMA ila suala kuwa na rais kila mara mmmmmhhhh. Zama zake zimekwisha na alichoshindwa kufanya kipindi kile basi imetosha. Ni vyema na ni baraka na insatahili kulewa wajukuu.
 
Kwa utawala wake elimu iliporomoka sana,si ndiyo akaamua kushusha alama za ufaulu ili watoto waonekane wamefaulu!
Na wewe ni mmojawapo ya wanufaika na hizo alama za chini- halafu uko hapa unabeza mkono uliokulisha
 
Hiyo haijustfy Kinana kusafiri kwa ndege ya serikali kwenda kumzika. Uwakilishi wa Rais unatosha kuiwakisha Tanzania kwenye mazishi.

Na kwa taarifa yako tu Rais Hage Gaigob hakuwahi kuishi Tanzania.
Ila Mbowe kuwa mwanafamilia wa Lowassa hukuliona?! Sikiliza , Samia ni mwenyekiti wa CCM on top ya kuwa rais wa JMT. Alienda Namibia kama rais. In the background, CCM walipswa kwenda kwa vile aliyekufa na kiongozi wa chama rafiki- CCM walipaswa kwenda- wote wakaenda kwa namna walivyoenda. Sioni shida yoyote ila kwa nitpickers which has turned to be a leading character of opposition in Tanzania- it is big issue too big to be an election agenda. It is worth to note that Tanzanians are not fool
 
His trips are not paid for by the government for God Sake. Siyo kila mtu anayepanda ndege ya rais na kusafiri na rais hasa safari za nje analipiwa na serikali

Mkuu be careful with what you wish for. Kesho akitokea mwingine upande ule usioutaka...itakuwa ngumu kutetea hizi nyuzi zako. Tukitaka kulisaidia taifa letu...tunahitaji consistency. Not convenience.

Tulisema humu...JPM had his favorites. Not so much on merits but personal considerations. Leo akifanya S100 kwa kuweka wakwe kwenye nafasi nyeti kuna wanaoshindwa kuinua vichwa... au kunyosha vidole...
 
Unaweza kurudia tena kwa maana sielewi hata unataka kusema nini
 
Ni sehemu ya habituation kuelekea kwenye maisha ya kawaida baada uongozi kupewa hizo lesser roles tofauti na majukuma makubwa.

It’s transition period through soft powers, JK aelewi somo bado anataka kuwa relevant na kuonekana he is still influential kwenye siasa za Tanzania.

Inatosha sasa apumzike kuonekana kwenye media kila mwezi au pembeni ya raisi at every opportunity. Kuna siku (a year or two ago) sijui ilikuwa mkutano gani wa ndani raisi Samia kamkuta VIP lounge inaonekana hata akumuita, katika maongezi yao ya kupeana salamu.
Kwaiyo unataka kuonekana wewe au babako kwenye media Kila mwezi?
 
He is babysitting someone, He and Co., don't want to miss a step.
Kikwete was here 3 weeks ago on a trip paid for by the US government and he is coming back this week. I wonder what interest does the US government have in our former president to the extent of paying for his travels. On another issue Tanzania has sent a delegation of 60 people including Tulia Ackson to the annual World Bank and IMF conference. Botswana usually sends a delegation of 5-6 people
 
Back
Top Bottom