Chadema fanyeni vikao vya ndani kukosoana, kurekebishana, na kusahihishana

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
9,026
12,271
Ni vizuri mkafanya vikao vya ndani, kurekebisha na kusahihisha kasoro na dosari zinazoonekana mpaka nje ya chama, ambazo zinaweza kuathiri taswira, umoja na maelewano ya viongozi waandamizi wa chama kwenye jamii....

Sio kwa ubaya lakini, kukosoana hadharani hakutawaacha salama, vinginevyo, aina hii ya kukosoana ni njia ya kusambaratisha chama kwa makusidi, huku tayari kila moja ameshajiandalia na kujihakikishia destination nyingine mpya ya kisiasa humu nchini, kuelekea uchaguzi mkuu ujao....

time will tell....

ama kweli,
fahali wawili hawakai zizi moja :DisGonBGud:
 
Sio kwa ubaya lakini, kukosoana hadharani hakutawaacha salama, vinginevyo, aina hii ya kukosoana ni njia ya kusambaratisha chama kwa makusidi, huku tayari kila moja ameshajiandadilia na kujihakikishia destination nyingine mpya ya kisiasa humu nchini kuelekea uchaguzi mkuu ujao....

Uchaguzi wa chama cha siasa ni swala la umma
 
Vya ndani imeshindikana!! Hata yale mabango ni mradi wa Mbowe
 
Usiingizwe mkenge, Chadema haina Mgogoro wowote
Huenda kweli usemacho, lakini usisahau wao ni binadamu, na kama walivyo binadamu wote hutokea wakati kuna kuhitilafiana.
Hivyo zikitokea hitilafu za namna hiyo wamalize kwenye vikao vya ndani.
Kauli za Tundu Lissu mjini Iringa zimeacha doa kwenye ulingo wa siasa.
Kwa level yake haikupendeza kuwatuhumu viongozi wenzake mbele ya halaiki.
 
Ni vizuri mkafanya vikao vya ndani, kurekebisha na kusahihisha kasoro na dosari zinazoonekana mpaka nje ya chama, ambazo zinaweza kuathiri taswira, umoja na maelewano ya viongozi waandamizi wa chama kwenye jamii....

Sio kwa ubaya lakini, kukosoana hadharani hakutawaacha salama, vinginevyo, aina hii ya kukosoana ni njia ya kusambaratisha chama kwa makusidi, huku tayari kila moja ameshajiandadilia na kujihakikishia destination nyingine mpya ya kisiasa humu nchini kuelekea uchaguzi mkuu ujao....

time will tell....

ama kweli,
fahali wawili hawakai zizi moja :DisGonBGud:
Tangu lini umekuwa mshauri wa CHADEMA?.
 
Tangu lini umekuwa mshauri wa CHADEMA?.
mim ni kiongozi nisiestahili wa wanainchi, mwalimu mnyonge sana na mchambuzi wa mahiri na makini sana, wa masula ya siasa kitaifa na kimataifa 🐒

na si lazima wala muhimu kufuata au kuzingatia nilichoibua kisiasa 🐒
 
Ni vizuri mkafanya vikao vya ndani, kurekebisha na kusahihisha kasoro na dosari zinazoonekana mpaka nje ya chama, ambazo zinaweza kuathiri taswira, umoja na maelewano ya viongozi waandamizi wa chama kwenye jamii....

Sio kwa ubaya lakini, kukosoana hadharani hakutawaacha salama, vinginevyo, aina hii ya kukosoana ni njia ya kusambaratisha chama kwa makusidi, huku tayari kila moja ameshajiandalia na kujihakikishia destination nyingine mpya ya kisiasa humu nchini, kuelekea uchaguzi mkuu ujao....

time will tell....

ama kweli,
fahali wawili hawakai zizi moja :DisGonBGud:
Hadi vikao mambo yameshaharibika. Sema viongozi wote wawe fair kuepusha maneno maneno
 
still time ipo kurekebisha na kusahihisha dosari, unless yapo malengo mahususi ya kusambaratisha hii chama....

Tz need united and vibrant opposition 🐒
 
Ni vizuri mkafanya vikao vya ndani, kurekebisha na kusahihisha kasoro na dosari zinazoonekana mpaka nje ya chama, ambazo zinaweza kuathiri taswira, umoja na maelewano ya viongozi waandamizi wa chama kwenye jamii....

Sio kwa ubaya lakini, kukosoana hadharani hakutawaacha salama, vinginevyo, aina hii ya kukosoana ni njia ya kusambaratisha chama kwa makusidi, huku tayari kila moja ameshajiandalia na kujihakikishia destination nyingine mpya ya kisiasa humu nchini, kuelekea uchaguzi mkuu ujao....

time will tell....

ama kweli,
fahali wawili hawakai zizi moja :DisGonBGud:
JokaKuu brazaj Kalamu
 
Inatofauti gani na Nyerere kuita wenzake malaya na wananunulika.

Zile zile siasa za kupakana vinyesi.
 
Back
Top Bottom