GODLOVEME
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,640
- 493
Kampeni za kuipeleka chadema madarakani 2015 ni mteremko kwa mabo yafuatayo
IN CHADEMA TANZANIAN, WE TRUST
- Ni chama kinachoongozwa kutajwa na CCM majukwaani zaidi ya sera zao, na hivyo kuikifanya chama kifikie hata kwenye vijiji vya mbali
- Ni chama ambao kila kukicha matanko feki yanatoka kwa lengo la kukidhohofishs lakini hayafanikiwi .............this means what there is no need of press comference maana kuna watu wanatangaza chama indirect
- Ni chama kilichopitia msukosuko mwingi sana na BADO KIPO IMARA
- Ni chama ambacho kimewaaminisha watanzania kuwa kinweza kuwaajibishs viongozi kitu ambacho CCM wameshindwa
IN CHADEMA TANZANIAN, WE TRUST