Cement imepanda bei balaa, naambiwa kuna tozo ya Serikali haijaanza kutozwa

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,512
9,890
Embu twambie huko kwenu inauzwaje?

Niko hapa Dar. Cement ni kati ya 16,500 n 18,000.

Mishahara iko palepale.

Tunauliza; Tutajenga kweli?. Naambiwa kuna TOZO ya Serikali haijaanza kutozwa - Sijui ni ipi hiyo.
 
Kwenye budget iliyosomwa bungeni na Nachemba Mwigulu alisemea wamekusudia kuongeza 10% kama tozo kwenye
cb9f7758-f680-4dbd-8910-c46fb0780ac9.jpg

bei ya mauzo kwenye kila mfuko mmoja wa cement inayotengenezwa ndani na ambazo ni imported
 
Embu twambie huko kwenu inauwaje?

Niko hapa Dar. Cement ni kati ya 16,500 n 18,000.

Mishahara iko palepale.

Tunauliza; Tutajenga kweli?. Naambiwa kuna TOZO ya Serikali haijaanza kutozwa - Sijui ni ipi hiyo.
watakwambia DPW watashusha bei ya Cement, CCM akili zao wanazijua wenyewe
 
Back
Top Bottom