PigakuraHeche hana ushawishi Mkubwa kwa sasa. Badala yake, ningeshauri aanzie kwenye nafasi ya chini kidogo, mathalani Ukatibu Mkuu. Baadae anaweza kupanda
Tundu Antipas Lissu pekee ndiye mwenye muscles za kukikalia kiti hicho. Yeye ndiye mtu madhubuti wa kuisema serikali ya CCM bila kumung'unya maneno. Hatetereki wala hababaishwi na danganya toto za Suluhu.
Usinikaripie. Unajuaje sijapiga?Pigakura
Ana 20yrs kwenye hicho cheo, apishe wengine waongoze Sasa. Isitoshe hata yeye alishaahidi kuwa 2024 ni mwisho wake. Au anataka kubadili gia angani kwenye hili pia?Binafsi sijaona wa kumpiku Mbowe! Mbowe bado ni hazina kwa CHADEMA! Kwangu naona ni mwanasiasa wa Siasa za Wastani! Ana hekima na busara! Hana siasa zilizojaa jaziba na mihemko iliyopita kiasi.
Sijaona kama Mbowe amechoka sana kiasi cha kutomhitahi katika nafasi hiyo!
Yeyote kati yao anafaaView attachment 2983496
FREEMAN MBOWE
View attachment 2983499
TUNDU LISSU
View attachment 2983500
JOHN HECHE
JINSI YA KUPIGA KURA.
1. Gusa jina la Unayemtaka
2. Shuka chini gusa "Cast Vote"
#Kupigakura ni Kwa mgombea mmoja tu vigezo na masharti kuzingatia.
Mbowe ni kiongozi mzuri sana. Lakini mimi naamini walioweka ukomo wa uongozi wana sababu nzuri sana. Hata uwe kiongozi mzuri namna gani, lakini kuna vitu uta-overlook kama utakaa kwenye madaraka kwa muda mrefu. Na pia una set pecedence mbaya itakayotumiwa na viongozi wengine wenye uchu wa madaraka. Na pia kupata mawazo mapya ni muhimu kwani binadamu huwezi kuwa mzuri kwa kila jambo. Mwisho: fulani anaweza kuwa ni kiongozi mzuri sana, na mkadhani akiondoka hakuna wa kuziba pengo lake, lakini akiondoka akaja mtu mwingine na akawa mzuri kuliko yule mliyedhani ni mzuri sana.Binafsi sijaona wa kumpiku Mbowe! Mbowe bado ni hazina kwa CHADEMA! Kwangu naona ni mwanasiasa wa Siasa za Wastani! Ana hekima na busara! Hana siasa zilizojaa jaziba na mihemko iliyopita kiasi.
Sijaona kama Mbowe amechoka sana kiasi cha kutomhitahi katika nafasi hiyo!
Kubadili uongozi baada ya mtu kukaa wa kipindi fulani ni muhimu sana, hata kama ni mzuri kiasi gani. Kuna faida kuliko hasara.Ana 20yrs kwenye hicho cheo, apishe wengine waongoze Sasa. Isitoshe hata yeye alishaahidi kuwa 2024 ni mwisho wake. Au anataka kubadili gia angani kwenye hili pia?
Pigakura Wacha maneno mengiMbowe ni kiongozi mzuri sana. Lakini mimi naamini walioweka ukomo wa uongozi wana sababu nzuri sana. Hata uwe kiongozi mzuri namna gani, lakini kuna vitu uta-overlook kama utakaa kwenye madaraka kwa muda mrefu. Na pia una set pecedence mbaya itakayotumiwa na viongozi wengine wenye uchu wa madaraka. Na pia kupata mawazo mapya ni muhimu kwani binadamu huwezi kuwa mzuri kwa kila jambo. Mwisho: fulani anaweza kuwa ni kiongozi mzuri sana, na mkadhani akiondoka hakuna wa kuziba pengo lake, lakini akiondoka akaja mtu mwingine na akawa mzuri kuliko yule mliyedhani ni mzuri sana.
Ni kura za shuruti Nini?Acha maneno pigakura