British Airways flight mistakenly lands in Scotland instead of Germany

Abunwasi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
5,486
3,470
CNN •25th March 2019

http%3A%2F%2Fcdn.cnn.com%2Fcnnnext%2Fdam%2Fassets%2F190325094045-01-british-airways-file.jpg

London (CNN) — Passengers on a British Airways flight from London's City Airport to Dusseldorf in Germany were met with a surprise Monday morning when their plane touched down -- in the Scottish capital, Edinburgh.
The error was down to an incorrectly filed flight plan, leading both the pilot and cabin crew to believe the flight was bound for Edinburgh.
The flight was operated by German leasing company WDL Aviation on behalf of the British Airways subsidiary airline BA CityFlyer. The incorrect flight plan was filed at WDL Aviation's offices in Germany.
Related content
Question: How could a passenger jet land at the wrong airport? Answer: Uh ...
After landing in Edinburgh, the plane took off a second time for Dusseldorf.
Piotr Pomienski, a student at Imperial College London, told CNN his girlfriend Zsófia Szabó was on the plane that landed in Edinburgh by mistake. "I saw on Flightradar that the flight was flying north instead of south, but I assumed it was a system error of some sort. That is until she wrote to me that they're in Edinburgh."
Szabó told CNN she realized something wasn't right when she saw mountains outside the plane, instead of the "usual German industrial landscape."
"When we started descending and I saw some taller hills/mountains, I did think that this isn't how Eastern Netherlands/Western Germany should look like but I assumed we took some small detour," she said. "Then my colleague sitting across the aisle from me told me to check Google Maps -- and it showed us being around Carlisle."
"The information then spread around quite quickly. Everyone started asking everyone else where they were going -- everyone was for Dusseldorf."
"When we landed there was a bit of a hilarious moment when the flight attendant asked for a show of hands for the people going to Dusseldorf, which turned out to be everyone," she said.
The captain subsequently apologized to the passengers, telling them the plane would refuel before heading to Germany.
"Most of us found this situation quite funny," Szabó said. "People were on phone calls trying to convince everyone that they've arrived in the wrong city."
Another passenger on the flight, Son Tran, told CNN: "Most passengers sleep or work through this flight so no one really noticed we were not flying over the Channel. We only realized we are in Scotland once we descended on approach and asked the crew."
In a statement, a spokesperson for British Airways said the airline was working with WDL Aviation "to establish why the incorrect flight plan was filed."
"We have apologized to customers for this interruption to their journey and will be contacting them all individually," the spokesperson said.
WDL Aviation said in a statement: "We are working closely with the authorities to investigate how the obviously unfortunate mix-up of flight schedules could occur. At no time has the safety of passengers been compromised. We flew the passengers on the flight with number BA3271 to Dusseldorf after the involuntary stopover in Edinburgh."
 
Rada zao na mawasiliano kwa ujumla yalikuaje?
... kwani uki-feed wrong data rada itasaidia nini? Rada ilipo-sync na plane ikarudishiwa signal the plane was heading to Scotland na ilipo-compare na parameters nyingie kama time, direction, velocity, altitude, weather, n.k. kila kitu kilikuwa perfect! Rada ingekuwa na lingine lipi zaidi ya kurudisha SUCCESS message na ku-notify ma-rada ya upande wa pili yawe tayari kumpokea "mgeni"? In short rada ilikuwa correct tatizo ni hao walio-feed garbage kwenye system.

Wewe unataka kutafuta 850 x 20 badala yake una-feed 805 x 20 kwenye calculator; lazima utapata jibu la hizo data za pili na sio za kwanza.
 
ok nimekuelewa mkuu
 
ok nimekuelewa mkuu
Tatizo siyo la rubani kabisa kwani watu wa dispatch wanatayarisha flight documents ikiwemo flight plan. Rubani anachokifanya ni kusoma hizo flight info, kukagua ndege yake na kujitayarisha kuruka.
Uzuri ni kwamba hata hiyo flight plan imekuwa digitize kiasi cha kumuelekeza rubani muelekeo wa ndege. Ndege hiyo ikifika usawa ambao unastahili, ndege huwekwa kwenye auto hadi hapo rubani anapofanya vinginevyo. Hivyo basi, kwa ufupi rubani alifahamu kuwa ndege hiyo
ilikuwa inaenda Edimburg ila abiria walitakiwa kwenda ujerumani.
 
Mmmaaa sijui lengo lake lilikua ni nn aisee anaweza kuua watu kwa mshituko maana muda si mrefu kulitokea balaa Ethiopia Boeing 737 MAX 8 daah sasa wanatutisha wajameni daah,ubaya wenyewe huwezi hata kuruka ukimbie
 
Bahati yao njema hawakutua kwenye viwanja vizivyo julikana vya watu wasio julikana Kama al-shabaab na wenzao Qaeda na nduguze IS ..
 
Ndege zinaongozwa na monsters Siku hizi. Artificial Intelligence ni janga kwa uhai wa mwanadamu
The error was down to an incorrectly filed flight plan, leading both the pilot and cabin crew to believe the flight was bound for Edinburgh.
 
Mmmaaa sijui lengo lake lilikua ni nn aisee anaweza kuua watu kwa mshituko maana muda si mrefu kulitokea balaa Ethiopia Boeing 737 MAX 8 daah sasa wanatutisha wajameni daah
Halikuwa tatizo la ndege wala la rubani. Mfano ambao ninaweza kukupa ni kampuni yenye mabasi mengi ambayo yanafanya safari route mbali mbali. Dereva asubuhi anaripoti kwa dispatch na kupewa kabrasha lenye namba ya gari lake na maelezo yote ya safari.
Kazi ya dereva hapo ni kukagua gari lake na kuwasha gari muda ukifika na kuelekea kule ambapo ameelekezwa . Sasa ikitokea pale morogoro, dereva anachoma kuelekea mikumi badala ya dodoma makosa ni ya nani?????
 
makosa yatakua kwa waliopanga ratiba ya safari kama sijakosea
 
Aisee alafu kulikua na hatari ya kuishiwa mafuta mungu kawanusuru
Uzuri wa ulaya kuna viwanja vingi ni kawaida kwa mji kua na viwanja hata 6 tofauti na nchi za kiafrica !! Hivyo ni rahisi kutua kwa dharua
 
Uzuri wa ulaya kuna viwanja vingi ni kawaida kwa mji kua na viwanja hata 6 tofauti na nchi za kiafrica !! Hivyo ni rahisi kutua kwa dharua
... duh! Terminal III pale inatutoa jasho tangu enzi za Mkapa halafu wenzetu just a city ina 6 fully fledged international airports! Yaani kwamba Jiji la Dodoma lilitakiwa kuwa na airport pale Makole, halafu nyingine Nzuguni, nyingine Area A, nyingine Area D, Nyingine Iringa Road, na nyingine Ihumwa? Tuna safari ndefu wallahi!
 
Back
Top Bottom