Jeshi la Polisi wameongeza muda wa kuomba kazi hadi 26.05.2024

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,835
87,000
Vijana endeleeni kuomba KAZI, nawaombea Mungu wangu awape kibali wote wenye uhitaji mfanikiwe.
20240521_223731.jpg


Pia soam: Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024
 
Nadhani tunahitaji kuumiza vichwa jinsi ya kuongeza ajira zenye ujira na sio kuongeza muda wa kugombania tu-ajira tuchache tusichotosheleza mahitaji...

 
Back
Top Bottom