Unasemeje
JF-Expert Member
- Apr 29, 2021
- 249
- 916
Boma linauzwa, limefikia hatua ya kufunga lanter, lina vyumba 3 vya kulala ambapo viwili ni self, kimoja ni cha kawaida, sitting, dining, jiko pamoja na public toilet.
Limejengwa ndani ya eneo lenye ukubwa wa 35x70 ( nusu ekari).
Sababu ya kuuza ni kuhamishwa kikazi.
Utanipa milioni 9 tu. Nitakuuzia mimi mwenyewe bila kuhusisha madalali.
Uuzwaji utafuata hatua zote na kushirikisha viongozi wa serikali na mwanasheria wako.
Pia nitakukabidhi ramani ili hatua zinazofuata ziendelee kwa ufanisi.
Naamini ukiona nyumba, mahali ilipo na ukubwa wa kiwanja unaweza ukahisi nimekupa tu bure.