Beno Kakolanya atoroka kambini kuelekea Mechi na Yanga SC

Smart codetz

Senior Member
Jan 25, 2023
190
753
Kablu ya Singida Fountain Gate imesikitishwa na kitendo cha gilikipa wao Beno Kakolanya cha kutoroka kambini muda mchache kuelekea game yao dhidi ya Yanga.

Singida wanakichukulia kitendo hicho kama ni hujma na wanafatilia kwa undani pamoja na wachezaji wengine wote wenye viashiria vya kuihujuma singida kwenye mchezo huo.

20240414_150449.jpg
 
Tumu ya kihuni hii eti registerd office iko Dar es salaam,madelu hii timu itakuja kumvunjia heshima
Hii ni comedy team
 
Sasa kama angetaka kuwahujumu si angekaa golini ili awachomeshe vizuri

Hamlipi wachezaji mishahara mnategemea wavuje jasho bure??

Shenzi

Na nyi yanga punguzeni dozi aisee, watu wanatafuta sababu kabla game haijaanza, mpaka ndugu yako wa damu nae alisema wachezaji wake watano walishiriki katika mchakato wa kuinua mnara wa 5G
 
Tumu ya kihuni hii eti tegistetd office iko Dar es salaam,madelu hii timu itakuja kumvunjia heshima
Hiyo si timu yake,timu ya Makau hiyo. Na wasitafute visingizio vya kufungwa leo,wawalipe hela wachezaji wao.
 
Hata kocha wao Jamuhuri Kihwelu naye kaondoka huko mwanza, timu haina kocha hadi sasa
 
Kablu ya singida fountain gate imesikitishwa na kitendo cha gilikipa wao beno kakolanya cha kutoroka kambini muda mchache kuelekea game yao dhidi ya yanga.
Singida wanakichukulia kitendo hicho kama ni hujma na wanafatilia kwa undani pamoja na wachezaji wengine wote wenye viashiria vya kuihujuma singida kwenye mchezo huo.
View attachment 2963432
Mchezaji anayetaka kuhujumu anatorokaje kambi? Kaa kambini daka chini ya kiwango watakufanya nini.
 
Back
Top Bottom