Bei ya umeme Kenya umeshuka kufatia kuimarika kwa shilingi ya Kenya dhidi ya pesa za kigeni

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,687
16,391
Mmmesikiaaaaa jirani anafanyaje bila uchawa

Hongera sana Wiliam Rotu kwa kazi kubwa unayoifanya hapo Kenya nimesikia umechukuw hatua kushusha Bei ya nishat ya umeme na wananchi wamelipokea kwa furaha kubwa mno na hatujasikia wa kusikia machawa yoyote awakikusifu kwa nyimbo na mapambio

Huku kwetu pesa inakosa dhamani Kila kikucha na Hakuna hatua ya dhati inayochukuliwa na badala yake mawaziri wako kina mwigulu wanakusifia Kila saa na dakika

Mama nakushauri shtuka Bora upoteza hcho kiti 2025 ila usitake kuendelea kuonekana mjinga wkt vyombo unavyo

Jamani Wakenya mmefanyaje nyie
 
Ila pia dola imeshashuka value check gold ilivyoenda juu ni gharama mno saivi gold. Mana huwa ziko inverse proportion. Gold juu benjas down or vice versa.

Sidhani Kama Ni iyo eti sarafu yao imeimarika
 
Ila pia dola imeshashuka value check gold ilivyoenda juu ni gharama mno saivi gold. Mana huwa ziko inverse proportion. Gold juu benjas down or vice versa.

Sidhani Kama Ni iyo eti sarafu yao imeimarika
Mkuu dollar ndo inazidi kuimarika na stock exchange forex bayo. Kuimarika kwa dollar na stock exchange imeifanya dhahabu na crypto kupaa. Ndo maana Trump anaombea Dollar ishuke na stock exchange sasa hivi kabla ya uchaguzi na inampa Joe Biden credit ndo maana huwaaikii sasa hivi republicans wakiongelea sana uchumi kwe campaign zao wamebase kwenye immigration na uzee wa joe biden.
Najua hapo kwenye gold mrangi anafurahi sana.
 
Yes,

Yes, ni kweli gold iko juu na stocks zimepanda mno kwa awamu hii Mana Mara ya mwisho high price ya Dow jones ilifika 36900+ Ila saivi imegusa high kabisa 40063.

Kwa indexes Zote na individual stocks zinafanya vizuri. Ila trump atarudi. Usikute trump akafanya yake ili ziporomoke.

Sema Hana uwezo Mana inabidi tutengeneze Vita Kama hii ya jumamosi ama ishu kubwa ambayo itayumbisha uchumi
 
Back
Top Bottom