Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,965
Hiyo graph Ina interval ya miaka miwili miwili, ilianza kupanda 2021. Lakini pia Ni ukweli Bei ilianza kupanda baada ya bajeti mpya ya 21-22, sijui mliweka nn hukoNakuomba uelewe vizuri lugha, 2020 ndio ilikuwa imefikia chini kwa kiwango cha mwisho na kwa muonekano wa graph huo ndio ukawa mwanzo wa kuanza kupaa kwa kasi.
Tukiacha sababu za kisiasa, mbolea ilianza kupanda kipindi covid19 baada ya supply kupungua kutokana na lockdown wa nchi za watengenezaji. Kuongeza chumvi kwenye kidonda, warusi na wayukreini wakaanza vita. Na kibaya zaidi hizo nchi mbili zinatengeneza na kuuza duniani mbolea nyingi sana hasa Urea, kama ni mkulima au mfanyabiashara utakuwa unajua.
Sababu hizo mbili ndizo zikafanya ongeza bei maradufu kwa sababu watengenezaji ni wachache.