Ngoja kwanza,
ni plot moja au plots nyingi?
na acre 15 itaitwaje plot? si shamba sasa hilo?
Ni Beach plot kwamba inapakana na bahari? au kuna mashamba/viwanja kisha ndo bahari?
Kuuna hadithi ya mtu aliuziwa kiwanja beach, baadae kuja hakukiona, bali aliona bahari ikiwa imejaa. Mkuu are you serious about these plots? Are you selling land plots or the beach?
kuweni makini na hizi plot mana sheria inataka metre 60 ziachwe kutoka kingo za bahari ama mto sasa kwa kuangalia naona hizi ni kingo za bahari...unaweza nunua kumbe mkenge na waziri wa ardhi sasa hana utani na mtu inakula kwako...
mkuu kitomai, hivyo viwanja vipo mita ngapi toka baharini? ni vya kichanga tupo ama vipo vilivyopo juu ya mawe? possible to pay u like 10 m baada ya miezi miwili kumalizia???
It is not expensive as you claim. Nadhani haujafanya utafiti wa kutosha ukajua bei halisi ya viwanja vya mbweni. Jaribu hata kuona katika matangazo mengine ya biashara itakusaidia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.