Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 421
- 1,156
Mnataka kututenga sana kama vile sisi sio Watanzania,siku Lissu akifanikiwa kuitenga Tanganyika na Zanzibar,Lake zone tutaanza kupambana tupate nchi yetu rasmi.......hatuwezi kuendeshwa kubali mambo ya kipumbavu kama hayawazee wa Malalamiko FC mlipewa mradi wa airport mkala hela! Wacheni unafiki!