Barua ya wazi kwa Mkuu wa Mkoa Tanga

Uzi unahusu Tanga na unahusu Pub,tena ni ya mtaa mmoja,sio zote.Kuweni waelewa.
RC Chalamira Amewahi kuwaambia wenye makanisa na misikiti kwamba jamaa wa night club na bars walienda kuwashtaki kwake kwamba wanawapigia kelele wakiwa wamepumzika na hangover zao..
 
Mleta Uzi,ametaja Pub moja,ya mtaani kwao,na ni Tanga.Hakutaja Bar,Pub,hall,kanisa ,msikiti,ya mitaa mingine,wala ya wilaya,mkoa mwingine...Kwa hiyo uwe muelewa,kwasababu panaweza kuwa na Pub,lakini isiwe kero kwa watu wa mtaani..
RC Chalamira Amewahi kuwaambia wenye makanisa na misikiti kwamba jamaa wa night club na bars walienda kuwashtaki kwake kwamba wanawapigia kelele wakiwa wamepumzika na hangover zao..
 
Kwa niaba ya rafiki wangu huko Tanga na-share hii uzi

Barua wazi kwa mkuu wa mkoa tanga.

Mheshimiwa mkuu wa mkoa Tanga,

Ni kwa masikitiko makubwa tunakueletea malalamiko dhidhi ya club ya Ben Bistro hapa wilayani Tanga, kati ya mtaa wa Ekcenforde na ring - Guinea Street

Club hii iliyoanzishwa miaka miwili ilioypita inaendelea kututesa kwa kuleta mazingira ya mateso mengi sana kwa sisi tunaoishi kwenye maeneo haya! Tabia za kihuni kwa kucheza muziki hadi usiku wa manane pamoja na wateja wao kuhudumiwa pombe kwenye magari zao barabarani na kukutwa wamesinzia hadi asubuhi pamoja na kutoa huduma za shisha, wadada wanauza mwili zao pia wapo na kufanya mambo zao kwenye magari n.K asubuhi hukosi kuona machupa za pombe barabarani au kwenye mataro na ukuta zinanuka na mkojo.

Huo mtaa unatumika sana na wanafunzi wanaopita kuelekea mashule mengi zilizo jirani na huwa wanashuhudia haya mazingira kila siku. Pia kuna kanisa na misikiti mawili na waumini wengi nao wanashuhudia haya matatizo.

Siku ya jumamosi tarehe saba mwezi huu wamezuia mabarara nne za mitaa na kufunga jukwaa. Jumapili kuanzia saa 11 jioni wameanza tamasha ya bendi iliyoendelea hadi 12 alfajiri.

Mheshimiwa, sisi tulishindwa kupumzika kabisa maana kelele ilikuwa mkubwa mno na hadi vitu vya ndani, ufa n.K. Za manyumba zetu zilikuwa zinatetemeka.

Mara nyingi asubuhi waumini waonaoelekea msikitini wamekuta watu wameelewa na kulala juu ya meza, kwenye magari na chupa za pombe zimetupwa barabarani.

Mwenyekiti wa mtaa naye hataki kutusaidia na insemekana biashara zake ni kukodisha vifaa wa bendi na vilitumika siku hiyo. Mwenye hiyo biashara aitwaye beny nae inasemekana kuwa anafahamia na 'viongozi wa juu' na hakuna atakaemsumbua?

Je hii ni haki? Mtaa wetu miaka nenda nyuma ilikuwa na utulivu na heshima wa hali ya juu ila leo hii tunateseka sana.

Tafadhali angalia video hizi.

Mheshimiwa, tunakuomba utusaidie.

View attachment 2324800
View attachment 2324802
Ushauri wangu anzieni kwenye Serikali yenu ya mtaa (Halmashauri ya Mtaa, Mkutano wa Wakazi wote wa Mtaa) and then Baraza la Kata (WDC), mkishalijadili na kuliazimia jambo lenu hakuna atakayewazuia, hiyo Club itafungwa na 'mtaa yenu itakuwa' tulivu kama awali.
 
Duuh sina cha kuchangia tena
Kama vipi wasogezwe/wahamishwe kama wale wa loliondo ..manake Mr Beny ni mwekezaji na alipewa vibali vyote na mamlaka husika... na hiyo ndio tatizo la maendeleo,yakikufuata inabidi ubadirike nayo ..kwa mfano miaka 15-20 iliyopita nyumba nyingi za shekilango Rd zilikua ni makazi ya watu but with time wenyewe wamezigeuza shops,bars, garages, carwash, Fuel station,saloons, nightclubs na Bus stands..na automatically hakuna watu wanaishi nyumba hizo coz of noise pollution na vitu kama hivyo..na uking'ang'ania kuishi mitaa kama hiyo unakua unafanya hivyo at your own inconvenience..huu mtaa anaoulalamikia member mwenzetu naufahamu na nimetembelea twice, ni mtaa wa migahawa na starehe za evening outing. Na nyumba nyingi ni Mali ya shirika la nyumba la Taifa ( NHC) sasa usitegemee kulipa rent ya 45,000/ month halafu upate kelele za ndege na breezes za bahari ya Hindi.
 
Huyu jamaa muongo

Hio bar Iko downtown kabisa kumejaa maduka na uwanja wa mkwakwani.

Nyumba nyingi za wakazi ziko kidogo kidogo


Acha nongwa ustaadh punguza kucheza draft,kerami na dhumna hapo barabarani
 
Ndio maana hamuendelei.

Tanga ni mji mzuri sana sema umejaa mamwinyi.

Jamaa wavivu kufanya kazi.

Wanacheza BAO,drafti,dhumna,sijui kelamu na kunywa kahawa siku nzima wako chini ya mwembe.

Ndio maana mji haukui kwa Kasi eti unaitwa Jiji

Tanga ilipaswa kubaki kuwa manispaa kwanza
Kwani maendeleo ni nini au ni yepi?
Tuanzie hapo kwanza
 
Mnasemaga hivyo hivyo..wakati dada zenu ndio wauza nyapu kwenye hizo pub.

Njoo kitambaa cheupe hapa upelekewe moto...huwezi zuia mabadiliko na maendeleo kisa illusions zako..kama ina uma chomoa au kavae suicide vest.

#MaendeleoHayanaChama
POvvvuuuuuu kama lote
 
We Mzee SI uhame huo mtaa kama unaona unakereka , mambo yote unayosema kuhusu huyu kijana anayejitaftia riski kihalali ni uzushi mtupu.
Mtaa hasa katikatika ya mji Kuna jamii Moja inajiona ndio in hati miliki ya mji.
Ndio maana huu mji utabaki kuwa WA kizamani na usio na maendeleo ulitaka auze alkausus nn
 
Tatizo na nyie mnan'gan'gania kukaa kwenye mji usio na maendeleo na wala hamuhami?
Hameni basi au rudini makwenu kwanini mnalazimisha hapo pasipo na maendeleo?
Wanafiki wakubwa

Tanga itaendelea kuwa ni ya watanga
Na iko siku
 
Halafu wewe choko usipende kudandia comment zangu,
Kama kinyeo kinakuwasha ujue mimi nimeacha kuwachokonoa mabwabwa
Kama nyie nenda kwa padri au askofu akuoe kabisa
Bwabwa mukundu muchafu wewe
Kama ina uma chomoa..

#MaendeleoHayanaChama
 
Tatizo na nyie mnan'gan'gania kukaa kwenye mji usio na maendeleo na wala hamuhami?
Hameni basi au rudini makwenu kwanini mnalazimisha hapo pasipo na maendeleo?
Wanafiki wakubwa

Tanga itaendelea kuwa ni ya watanga
Na iko siku
Mashoga bhna..kwahiyo wakihama hao mabasha wakukusugua mtaro utawapata wapi..kaa utulize kinyeo wanaume wafanye kazi zao.

#MaendeleoHayanaChama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom