DOKEZO Barabara ya Mbezi Luis kwenda Mpigi Magoe ni mbovu sana, Wananchi tunateseka jamani

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mbunge wa huko sijui ni nani, nasikia alihamisha lami kwenda kwake Kibamba badala ya barabara hiyo.
 
Mbunge wa huko sijui ni nani, nasikia alihamisha lami kwenda kwake Kibamba badala ya barabara hiyo.
Hiyo barabara ilikuwa ijengwe kwa lami kuendeleza ile barabara ya Mbezi Kinyerezi. Kilichotokea sasa..... lami imepelekwa Kibamba Chama kwenda Kibwegere.
 
Back
Top Bottom