Kumogoka na kumeguka dugu moja!Ndiyo kusema Kiswahili kimekua? Hiki Kiswahili gani cha barabara kumogoka? Wataalam wa Kiswahili mnisaidie!
Komogoka!!Jamaa ameandika Kisukuma eeeeh?😁😁
Pengine amekosea katika kuchapisha au kuandika. Usahihi ni 'yameguka'.Ndiyo kusema Kiswahili kimekua? Hiki Kiswahili gani cha barabara kumogoka? Wataalam wa Kiswahili mnisaidie!
View attachment 2976197View attachment 2976197