johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,673
- 145,464
Baada tu ya Komredi Makala kutangazwa Kuwa Mwenezi mpya wa CCM Chama Kikuu Cha Upinzani kikasema Makala hauwezi kukubali kufanya mdahalo
Lakini wakati wa kupokelewa ofisini Lumumba Komredi Makala akatamba yuko tayari kwa mdahalo dakika yoyote ile
Tangu hapo Chadema hawajasikika tena wakizungumzia Mdahalo wa Tundu Antipas Lisu na Komredi Makala
Mlale Unono ๐๐๐๐ฅ