Lambardi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2008
- 16,634
- 17,575
Tusubiri BoT watatukausha damu wallah....tusubiri wameshatoa public notice juu hilo...Kwahiyo bei ya vitu itaanzia 500? Hakutakuwa na nyanya za 200? Hii haitasababisha mfumuko wa bei? Au uchumi ndio utaonekana umekua?