Ndo maana tunasisitiza Ulinzi uimarishwe. Ikibidi aombe Msaada taifa teule.Hii weekend Mambo yameenda Kasi Sana...
Kazi kweli kweliHata uchunguzi wa ajali ya Bwana Raisi bado mmeshaanza kumlaumu na kumsifu Myahudi!
Kwanza nitoe pole Kwa taifa la Iran Kwa kumpoteza Kiongozi wao,
Pili, inafaa Ulinzi uimarishwe Kwa Ayatollah Ali ili kumlinda na mashambulizi ya maadui ambao dunia inawajua tulisema awali alipokuwa akiropoka
Wapi katajwa Myahudi?Hata uchunguzi wa ajali ya Bwana Raisi bado mmeshaanza kumlaumu na kumsifu Myahudi!
Huyu sio Ayatollah wa kwanza wala hatakuwa wa mwisho, ugomvi wa Iran na Israel huko pale paleKwanza nitoe pole Kwa taifa la Iran Kwa kumpoteza Kiongozi wao,
Pili, inafaa Ulinzi uimarishwe Kwa Ayatollah Ali ili kumlinda na mashambulizi ya maadui ambao dunia inawajua Ila ndo vile
kisomo muhimu wanga wengi sanaAtaongezewa Tasbihi atafanyiwa na kisomo cha kuzuia Drones.
huyo anaishi kwenye mahandaki. nilitaka kushangaa, myahudi apigwe halafu akubali kirahisi hivihivi? walisema watakuwa wanadungua mmoja mmoja.Kwanza nitoe pole Kwa taifa la Iran Kwa kumpoteza Kiongozi wao,
Pili, inafaa Ulinzi uimarishwe Kwa Ayatollah Ali ili kumlinda na mashambulizi ya maadui ambao dunia inawajua Ila ndo vile
Acha hizo basi.Ataongezewa Tasbihi atafanyiwa na kisomo cha kuzuia Drones.