Askofu Malasusa ulianza lini kusononeshwa na watu Kuwindwa kwa Risasi?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,928
221,319
Hili ni swali tu kwako Baba Askofu, kwa Nchi hii ukianza kusononeka kwa sababu ya Kunusurika kwa Ole Sendeka, basi bila shaka ama hukuwepo Duniani, au ulifungiwa ndani ya mazabahu.

Na kama ulikuwepo basi utakuwa mnafiki uliyepitiliza na kwamba sononeko lako linatokana na kushambuliwa kwa Mwanaccm mwenzako na wala halitokani na hicho ulichokisema.

Screenshot_2024-03-31-15-14-20-1.png
 
Hili ni swali tu kwako Baba Askofu , kwa Nchi hii ukianza kusononeka kwa sababu ya Kunusurika kwa Ole Sendeka , basi bila shaka ama hukuwepo Duniani , au ulifungiwa ndani ya mazabahu .

Na kama ulikuwepo basi utakuwa mnafiki uliyepitiliza na kwamba sononeko lako linatokana na kushambuliwa kwa Mwanaccm mwenzako na wala halitokani na hicho ulichokisema .

View attachment 2950052
Wakati TAL anashambuliwa na kutandikwa risasi naona baba Askofu alikuwa mawinguni
Maana TAL akuwindwa tu Bali kitendo kilitendeka sikuona mahali akilaani tukio hilo
 
Hili ni swali tu kwako Baba Askofu , kwa Nchi hii ukianza kusononeka kwa sababu ya Kunusurika kwa Ole Sendeka , basi bila shaka ama hukuwepo Duniani , au ulifungiwa ndani ya mazabahu .

Na kama ulikuwepo basi utakuwa mnafiki uliyepitiliza na kwamba sononeko lako linatokana na kushambuliwa kwa Mwanaccm mwenzako na wala halitokani na hicho ulichokisema .

View attachment 2950052
Hahahaa ngoja nisicomment kitu hapa.
 
KKKT kwa huyu askofu na mkuu wa kanisa lenu mmepiga nje. Huyu sio mkristo hata kidogo na hana harufu ya uchamungu bali ni chawa mkubwa wa watawala
 
Angesema tu anasikitishwa na Sendeka kuwindwa na risasi na sio watanzania.
 
Hili ni swali tu kwako Baba Askofu , kwa Nchi hii ukianza kusononeka kwa sababu ya Kunusurika kwa Ole Sendeka , basi bila shaka ama hukuwepo Duniani , au ulifungiwa ndani ya mazabahu .

Na kama ulikuwepo basi utakuwa mnafiki uliyepitiliza na kwamba sononeko lako linatokana na kushambuliwa kwa Mwanaccm mwenzako na wala halitokani na hicho ulichokisema .

View attachment 2950052
Mkuu mbona hukugombea uaskofu?
 
KKKT kwa huyu askofu na mkuu wa kanisa lenu mmepiga nje. Huyu sio mkristo hata kidogo na hana harufu ya uchamungu bali ni chawa mkubwa wa watawala
Wajinga sana ninyi.
Mama Samia alimtembelea Lissu Nairobi kitandani hospitali.
Mbona kumbukumbu senu kama vibulushuti vya chekechea?
 
Samia hakumtembelea Lissu , bali alipitia tu hospitali baada ya Mkutano wa Nairobi kumalizika , Alli Hassan Mwinyi ndiye aliyemtembelea Lissu Hospitali kutoka moja kwa moja Dar , hakutoka kwenye semina
 
Back
Top Bottom