Askari wa Ukraine awashangaa wapiganaji wa Wagner wasiorudi nyuma

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,459
11,443
Moja ya askari wawili wa Ukraine aliyenusurika ameshangazwa na mbinu za kivita za Wagner,amesema wanapigana kama mazombi.Hata ukiwauwa unakuta wengine wanakuja kwa kasi wakikanyaga maiti za wenzao kama vile si watu ni mazombi.

Hayo ni maelezo ya askari huyo kwa aliyoyaona siku alipokabiliana na Wagner kwa masaa 10.Kwa hali hiyo anahisi kama kwamba kabla ya kuingia uwanja wa vita huenda askari hao huwa wanavutishwa bangi.Na kwa haraka unaweza ukaona kama ni sinema inayochezwa na vizuu.

Miongoni mwa aliyogundua kwa adui yao huyo ni kwamba huwa wanakuwa ni vikundi vidogo vya watu kuanzia 10 mpaka 20 ambao huwa wamepangwa kutoka pande zote walipokuwa wamejichimbia wao.Anasema walitumia bunduki zao mpaka zikawa hazishikiki kwa moto lakini hatimae wakajikuta wameishiwa na kila kitu na wamebaki wawili wakiwa wamezingirwa.

=======

Wagner troops wouldn't 'stop coming' and climbed over bodies of dead comrades like something out of a 'zombie movie,' says Ukrainian soldier​

  • A Ukrainian soldier compared fighting Russia's Wagner Group to something like a "zombie movie."
  • "They're climbing above the corpse of their friends, stepping on them," the soldier told CNN.
  • He detailed an "uninterrupted," 10-hour battle in which Russian mercenaries "didn't stop coming."
A Ukrainian soldier who recently had a run-in with a group of Wagner mercenaries said the fighters "didn't stop coming" during a battle in Bakhmut, Ukraine.

"We were fighting for about 10 hours in a row. And it wasn't like just waves — it was uninterrupted. So it was just like they didn't stop coming," the soldier, named Andriy, told CNN of fighting troops from the Wagner Group, a private military contractor linked to the Kremlin that consists of mercenaries and former prisoners.

He said the fight was between 20 Ukrainian soldiers and about 200 Wagner troops and described it as a "frightening and surreal experience."

Andriy detailed the ruthless nature of these fighters, comparing the battle to something out of a "zombie movie."

"They're climbing above the corpse of their friends, stepping on them," he told CNN. He even suggested that the Wagner troops might be "getting some drugs before the attack."

Andriy said their machine gunner was "almost going crazy" because he knew he was shooting at and hitting his targets, but none of the troops he hit were falling.

"He said, 'I know I shot him, but he doesn't fall,'" Andriy told CNN. "And then after some time, when he maybe bleeds out, so he just falls down."

The soldier said his group's AK-47 rifles became so hot from constantly firing at the Wagner troops that they had to keep switching out guns.

He described Wagner's attack method to CNN, saying that first, they send a group of attackers — mainly made up of recruits fresh from Russian prisons. At that point, they begin "digging into position," Andriy said.

A second group then advances to claim more land "step by step," moving forward and into position, Andriy recalled. As Wagner loses more troops and groups are exhausted, they send more as an attempt to hold their spot on the battlefield.

Eventually, Andriy's group was surrounded. "We didn't expect them to come from there," he told CNN.

"We were shooting until the last bullet, so we threw all the grenades we had and left only me and a few guys. We were helpless in that situation," he told CNN.

At the end of the day, Andriy and comrades got a stroke of luck: Wagner retreated.

Tens of thousands of Wagner fighters have joined in Russia's war efforts to capture Bakhmut, where intense fighting has raged for months. Among the group's fighters are recruited prisoners who have been sent to the front lines — sometimes alongside newly mobilized Russian troops — and used to absorb heavy Ukrainian fire.

US military officials have said that these forces are taking the brunt of Ukrainian firepower.

Top US Gen. Mark Milley said last month that Russian casualties have climbed to "significantly well over 100,000 now." That assessment includes the regular military and Wagner.

Though Wagner is taking heavy losses, the group also appears to be the only Moscow-linked force that has found any sort of success on the battlefield, specifically the capture of the strategically insignificant Soledar, and its prominence has at times caused rifts between the mercenary group and Russia's regular military.

The US government announced a litany of new sanctions last week aimed at the Wagner Group, designating it a "significant transnational criminal organization" and targeting individuals and entities involved in supporting its global network.

Read the original article on Business Insider
 
Moja ya askari wawili wa Ukraine aliyenusurika ameshangazwa na mbinu za kivita za Wagner,amesema wanapigana kama mazombi.Hata ukiwauwa unakuta wengine wanakuja kwa kasi wakikanyaga maiti za wenzao kama vile si watu ni mazombi.
Hayo ni maelezo ya askari huyo kwa aliyoyaona siku alipokabiliana na Wagner kwa masaa 10.Kwa hali hiyo anahisi kama kwamba kabla ya kuingia uwanja wa vita huenda askari hao huwa wanavutishwa bangi.Na kwa haraka unaweza ukaona kama ni sinema inayochezwa na vizuu.
Miongoni mwa aliyogundua kwa adui yao huyo ni kwamba huwa wanakuwa ni vikundi vidogo vya watu kuanzia 10 mpaka 20 ambao huwa wamepangwa kutoka pande zote walipokuwa wamejichimbia wao.Anasema walitumia bunduki zao mpaka zikawa hazishikiki kwa moto lakini hatimae wakajikuta wameishiwa na kila kitu na wamebaki wawili wakiwa wamezingirwa.
Kwenye vita hii hakuna shujaa.
Pande zote zinaua wanadamu
 
Hela zinawapa matumaini lakini walitakiwa kufikiri, putini alianza na jeshi lake likafyekwa, akakodi makundi ya Islamic state yakafyekwa, vijana wa umri wa 18-50 wakafyekwa, wafungwa wakafyekwa, sijui makundi toka syria wakafyekwa sasa na hao Wagner nao ndio hakuna namna wapigwe tu maana ndio hakuna namna.
 
Moja ya askari wawili wa Ukraine aliyenusurika ameshangazwa na mbinu za kivita za Wagner,amesema wanapigana kama mazombi.Hata ukiwauwa unakuta wengine wanakuja kwa kasi wakikanyaga maiti za wenzao kama vile si watu ni mazombi.
Hayo ni maelezo ya askari huyo kwa aliyoyaona siku alipokabiliana na Wagner kwa masaa 10.Kwa hali hiyo anahisi kama kwamba kabla ya kuingia uwanja wa vita huenda askari hao huwa wanavutishwa bangi.Na kwa haraka unaweza ukaona kama ni sinema inayochezwa na vizuu.
Miongoni mwa aliyogundua kwa adui yao huyo ni kwamba huwa wanakuwa ni vikundi vidogo vya watu kuanzia 10 mpaka 20 ambao huwa wamepangwa kutoka pande zote walipokuwa wamejichimbia wao.Anasema walitumia bunduki zao mpaka zikawa hazishikiki kwa moto lakini hatimae wakajikuta wameishiwa na kila kitu na wamebaki wawili wakiwa wamezingirwa.
Wanaoshambulia hivyo ni hao wafungwa kutoka gerezani walioahidiwa wakijiunga na Wagner watasamehewa baada ya miezi sita.

Idadi kubwa ni waliohukumiwa shauri ya madawa ya kulevya. Katika Wagner hawazuiliwi kutumia madawa hayo tena.

Hivyo tunaona taarifa kwamba wako wanakuja kama mazombi wakilevya sijui nini, vodka, gundi, heroini.

Yupo mmoja wa Wagner aliyewahi kuwa kiongozi wa ngazi ya chini aliyekimbia Norwei akasimulia mengi.

Putin anatumia Wagner kupunguza wafungwa gerezani wakitumwa Ukraine wanapokufa.
 
Back
Top Bottom