Kulipa kodi ni kigezo muhimu cha kupima uzalendo wa mtu kwa nchi yake kuhakikisha inapata mapato ya kujiendesha
Asiyelipa kodi ya mapato sio mzalendo hatakiwi kugombea ubunge wala cheo chochote cha kugombea
2025 wote wasiiolipa kodi wakuwemo wabunge kama wapo wasipewe nafasi ya kugombea tena ubunge.
Takwimu za kodi za mgombea zichululiwe TRA kuona kama huyo mtia nia ni mlipa kodi mzuri ndio apitishwe kugombea na chama au tume ya uchaguzi
Hii itasaodia kuondokana na wagombea ambao sio wazalendo