App ya kutafsiri sauti. Eg from german to swahili

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
441
247
Habari wana jamii forum naomba msaada wa kujua app inayoweza kutafsiri sauti, mfano nasikiliza voice au short vidio ya kijerman inanitafsiria kiswahili moja kwamoja, naomba mwenye kujua anisaidie.
 
AI zipo kibao siku hizi zinakufanyia hitaji lako mkuu...hata ChatGPT anafanya...
 
Screenshot_20240426-162815.png
 
Back
Top Bottom