Antonio Nugaz amwita Manara "Msukule"

LENGISHO

Senior Member
Sep 15, 2017
169
245
Kuna dalili Kuwa Yanga ikaenda kupasuka pasuka , hii n baada ya Video iliyorekodiwa na Nugazi na mashabiki wa Yanga. Video hyo inasikika sauti ikidai kuwa Msukule wa Simba wamemchukua ( Ifahamike kuwa hakuna biashara ya mchezaji au kocha yeyote aliyetoka simba kwenda Yanga) mtu pekee aliyeenda Yanga ni Aliyekuwa msemaji wa Simba Sc ndugu HAJJI SUNDAY MANARA

Sasa kwa kauli hii kuna uwezekano kukatokea mpasuko mkubwa sana yanga ... Team NUGAZ vs TEAM MANARA

 
FB_IMG_1630139240604.jpg
FB_IMG_1630139428390.jpg
 
Kuna dalili Kuwa Yanga ikaenda kupasuka pasuka , hii n baada ya Video iliyorekodiwa na Nugazi na mashabiki wa Yanga .
Video hyo inasikika sauti ikidai kuwa Msukule wa Simba wamemchukua ( Ifahamike kuwa hakuna biashara ya mchezaji au kocha yeyote aliyetoka simba kwenda Yanga) mtu pekee aliyeenda Yanga ni Aliyekuwa msemaji wa Simba Sc ndugu HAJJI SUNDAY MANARA

Sasa kwa kauli hii kuna uwezekano kukatokea mpasuko mkubwa sana yanga ... Team NUGAZ vs TEAM MANARA

View attachment 1912498
Ipo imara yanga

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu Hii ni kutoka ndani kabisa kuwa ujio wa Haji Manara pale jangwani umeleta mgawanyiko mkubwa.

Kuna pande mbili Moja ni ile ya upande wa tajiri (GSM) na Yanga ya upande wa kina Bumbuli & Antoni Nugaz ambao hawataki kabisa kufanya kazi na Haji Manara.

Haji Manara ameshaanza kutengwa na kupewa majina kama Msukule.

Sasa Tajiri GSM amekasirishwa na wale wanaompinga Haji Manara kwani yeye ndio aliemleta na kumlipa mshahara.

Kumbuka Antoni Nugaz kwa muda sasa ndio amekua chawa wa Tajiri sasa kuna chawa Mpya kaja na wanaona anatishia maslahi Yao.

Kuna shinikizo Antonio Nugaz atoke ili Msukule aweze kufanya kazi kwa utulivu.
 
Back
Top Bottom