GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,115
- 110,509
Najua kuwa kwa sasa kama Simba SC Kesho haitotuangusha Mashabiki wake huko Mkoani Mbeya na Kushinda basi rasmi Pengo ( Gap ) litakuwa ni la Alama ( Points ) Tatu.
Huku wakiwa Wanaiogopa Simba SC Kimoyomoyo japo Nyusoni mwao huwa Wanaidharau na Kuicheka ili Waidhoofishe Simba SC na wasiendelee Kushinda na Pengo ( Gap ) kuendelea au kubakia kuwa hilo hilo la Alama ( Points ) Tatu lifuatalo litafanyika na GENTAMYCINE naliona kwakuwa najua Michezo ya Hatari na ya Kimafia ya Soka la Bongo ( Tanzania )
Ni kwamba kuanzia sasa Timu zote ambazo zitakutana / zitacheza na Simba SC kwa kuanzia na ya Kesho ya Prisons FC Wachezaji wa Simba SC ( hasa hasa wale Tegemezi ) Watahongwa na Waliodondosha Alama ( Points ) Tatu leo ili Timu yetu iwe dhaifu na ama ianze kutoka Sare au hata Kufungwa nayo ili iangushe Alama na tuwe nao sawa na tusichekane / tusiwacheke.
Hivyo basi kwa hili ANGALIZO LANGU MUHIMU niuombe Uongozi wa Simba SC, Benchi la Ufundi na hasa hasa Wachezaji wa Simba SC kuchukua TAHADHARI hii mapema mno, Kujiandaa nayo na kuwa Makini kwani ni Mkakati ambao utatumika / utatumiwa na Maadui zetu ( Wazee wa Kudondosha Alama Mbarali ) ili Simba SC wanayoihofia ama iwe inatoka Sare au hata iwe inafungwa kabisa.
Kazi Kwenu Simba SC. Asante Ihefu FC.