Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,069
12,459
Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chini
20240423_202055.jpg

Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡

Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
 
Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chiniView attachment 2972132
Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡

Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
Halafu nikifikiria tunatamba na kuwa na zaidi ya miaka 60 ya uhuru dah. Bora muingereza angeendelea kututawala tu, tuliitaka nchi katika kipindi ambacho bado hatujajua nini maana ya kujiongoza katika dhima nzima ya MAENDELEO
 
Alafu nikifikiria tunatamba na kuwa na zaidi ya miaka 60 ya uhuru dah. Bora muingereza ungeendelea kututawala tu, tuliitaka nchi katika kipindi ambacho bado hatujajua nini maana ya kujiongoza katika dhima nzima ya MAENDELEO
Reli ya kati ya mjerumani na Tazara ya macho madogo tumeziua kiaina.

Hii mpya yetu ndio tutaiweza ?
 
Back
Top Bottom