Anayejua muuzaji wa jumla ya wine za dumu lita5

Kuna bwana mdogo hap kijijini naona anaziuza Sana hapa Tena anapima hata Kwa toty
Kama ulishawah ona Mahali wanauza zuga Kwa kuomba lile dumu then unalisoma Kuna namba zao hapo
Au nenda kwenye liquor stores ulizia utapewa majibu sahihi
 
wine inategema na alcohol contents- ukinywa yenye chini ya alcohol volume 12 per cent volue , kulewa itakuwa shida, hulewi, ni kama kunywa bia tu kama zile zenye 9 % volue au below, lakini ukinywa wine yenye ujazo zaidi ya hapo, lazima wakupate mtaroni kama alcohol tolerance yako ni ndogo.
Nyingine zina hangover mbaya kama K-Vant nahisi kuna kitu wanaongeza hawa watanganyika.
 
wine inategema na alcohol contents- ukinywa yenye chini ya alcohol volume 12 per cent volue , kulewa itakuwa shida, hulewi, ni kama kunywa bia tu kama zile zenye 9 % volue au below, lakini ukinywa wine yenye ujazo zaidi ya hapo, lazima wakupate mtaroni kama alcohol tolerance yako ni ndogo.
Wine zipi hizo zenye alcohol ujazo mkubwa zaidi? Wine zote ambazo nimezitumia hazijawahi kunilewesha.
 
Wine zipo nyingi tu ndugu yangu- tafuta inayoitwa Trivento Malbeck- wine pendwa sana hapa duniani au tafuta inayoitwa vishinat ( Inatengenezwa Romania) ni mchanyo wa wine and whiskey.. ni tamu sana, lakini muziki wake, usiombe.
au tafuta nyingine inaitwa Casillero del Diablo ya Chile/Agentina- uone shughui yake. Binafsi, natengeneza zangu mwenyewe na huwa zinanitoa knockout.
 
au tafuta nyingine inaitwa Casillero del Diablo ya Agentina- uone shughui yake.
Shukrani Mkuu, ngoja nizitafute hizo
 
Wine zipo nyingi tu ndugu yangu- tafuta inayoitwa Trivento Malbeck- wine pendwa sana hapa duniani au tafuta inayoitwa vishinat ( Inatengenezwa Romania) ni mchanyo wa wine and whiskey.. ni tamu sana, lakini muziki wake, usiombe.
au tafuta nyingine inaitwa Casillero del Diablo ya Agentina- uone shughui yake.
nitaijaribu hii hizo za waswahili zinaumiza kichwa kama K-Vant halafu test ina tofauti kwa kila chupa
 
Wine zipo nyingi tu ndugu yangu- tafuta inayoitwa Trivento Malbeck- wine pendwa sana hapa duniani au tafuta inayoitwa vishinat ( Inatengenezwa Romania) ni mchanyo wa wine and whiskey.. ni tamu sana, lakini muziki wake, usiombe.
au tafuta nyingine inaitwa Casillero del Diablo ya Chile/Agentina- uone shughui yake. Binafsi, natengeneza zangu mwenyewe na huwa zinanitoa knockout.
Itabidi na mimi niitafute hii
 
Back
Top Bottom