Hizi Sura mbona ngumu sana .🙄🙄🤷Anaegawa hizo tisheti za chawa wa mama akumbuke kuwapatia viatu vizuri pia hawa chawa tafadhali
View attachment 2970297
View attachment 2970304
DuhHauko makini wewe...🤣🤣😜 Chawa na uchafu ni kama pumzi na uhai.
Hao wakiwa Wasafi watakuwa siyo chawa Tena....