Amna usaliti nieleweke

Clark cian

Senior Member
Jul 3, 2021
154
146
Mimi nishabiki la simba ila Yanga wananigusa sana dadeq...

Mpira wanaocheza ni mara mia ya USM Alger Jana dhidi ya Al ahly

Ila sisi Simba subiri TU jwe maji kwanza
 
Tulia uendelee kuguswa na Uto. Sisi tupo na Simba yetu
 
Tukuongezee maji kwenye dimbwi?.maana sasa hivi kiangazi...
🐸 🐸 🐸 🐸 🐸 🐸
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom