Alternative story ya kukatwa kwa Edo July 2015

Kuna viashiria vya kila aina kwamba Kanisa lina nguvu sana katika siasa za Ulimwengu huu hasa Afrika ambapo nyuma yake kuna ushawishi wa hisani ya msaada na mikopo.

Ila cha kutazama hapo ni namna gani ya kutoka hapo tulipokwama.
Sio Africa tu.. Lina nguvu mpaka arabuni na ulaya..hizo siasa zina kiranja wao mkuu. Kumbuka wanglikana, wathodox hao ni matawi ya Roma..na walutjer ni waprotestant... Hivyo Edo alipigwa kutoka engo za juu ulaya, Russia, America na alibakiwa na Berlin tuu... Yani mwingereza hawez ruhusu mjeremani akaweka mizizi Tena the former German east Africa. Na silaa ya mwisho iliyotumika kumwangusha Edo alikuwa Dr..Slaa jasusi la Vatican..na hakukosea akatenda kama maelekezo ya Moja takatifu la mitume
 
Kwanini hao Anglo-saxons wasihofu rasilmali kupewa Persians au Ottoman kuliko na waislamu pindi Rais muislam anapoongoza badala yake wahofie rasilimali kupewa wajerry eti kwa kuwa na Rais mprotestant. I doubt.
Kwamba hujui Bakwata ilianzishwa na mwenyeheri wa adisi ya babaa. Yule alikuwa nani?? Funga siku ya jumatano ya majivu na usile nyama siku ya ijumaa kuu
 
Taifa la Uingereza si lina misingi ya Anglican, iweje wasapot catholic angali serikali ilikwisaha jitengaa nao?
Fuatilia mwanzo wa Hilo dhehebu. Lile ni tawi la rumi hata Sali Yao. Inshort wale ni ndugu na wanalindana. Ndo mana walikabidhiwa Jimbo la German east Africa walilinde na liliitwa Tanganyika na badae walilirudisha kwa wenyewe wakampa kijana wao mwenye heri aliongoze. Mwenye heri mwalimu mkuu utuombee
 
Kifupi mkwere sio mtu wa kuaminiwa nashangaa kwanini edo alimwamini huyu jamaa huwezi kuwa na rafiki aina ya mkwere halafu ukasema una rafiki.
Inaonyesha watu wa pwani wengi wao pia wavivu wa kufanya kazi, kuwajibika kwenye majukumu yao, wanapenda kusafiri nje sana kuliko kukaa ofisiniofisini,
Angalia awamu ya 4 na ya 6 wanapenda kusafiri kuliko kazi.
 
Inaonyesha watu wa pwani wengi wao pia wavivu wa kufanya kazi, kuwajibika kwenye majukumu yao, wanapenda kusafiri nje sana kuliko kukaa ofisiniofisini,
Angalia awamu ya 4 na ya 6 wanapenda kusafiri kuliko kazi.
Mkuu we hupendi kusafiri?
 
30/12/2005 – JK alimteua Edo (Mlutheri) kuwa Waziri Mkuu. This was nothing new as Fredrick (Mlutheri) alishakuwa PM for 10 years. JK alitaka Edo (Mprotestanti) awe mrithi wake wa urais. JK alidhamiria hivyo huku akijua kwamba system ya TZ huwa haipendi kua na rais Mprotestanti.

26/6/2006 - JK aliteua Secretariat mpya ya CCM ikiwa na Waislamu watupu na Waprotestanti wawili au mmoja (kuna uwezekano hakuwepo Mkatoliki kabisa).

Ingawa JK alikua amesoma seminari ya Kikatoliliki inaelekea kisirisiri alikua ameamua kuwa independent na kanisa hilo. System ya Kikatoliki ikaanza kumtikisa JK kwa kuvujisha siri (za ufisadi) Chadema.

16/1/2007 – Jakaya alimtembelea Tony UK. Baadhi ya Waingereza huwa wanaogopa TZ kuwa na rais Mlutheri, as wanadhani rais Mlutheri atakua karibu na Wajerumani kuliko Waingereza. Rais huyo anaweza kuwapa Wajerumani sehemu ya Gesi na dhahabu ya TZ. Kumbuka kwamba anglo-saxons wa UK, USA, Canada na Australia ndio wanao enjoy sehemu kubwa ya rasilimali za TZ.

19/10/2007 - Jakaya alimtembelea Benedict Vatican.

Baada ya hii ziara JK akasalimu amri kwa kanisa Katoliki. Akaamua kwamba akirudi atamtosa Edo na baada yake atakabidhi kiti kwa rais Mkatoliki. Candidate wake alikua Bernard. Ila majesuit wa TZ hawakumtaka Bernard kwasababu ya udhaifu aliouonyesha kwenye issue ya OIC.

13/11/2007 – Kamati teule ya Bunge ya Richmond ikaundwa.

7/2/2008 – Edo akajiuzulu. Mizengo (mkatoliki) akateuliwa. Mizengo alikua kabila mmoja na Polycarp.

July 2015 jina la Edo likakatwa CCM. This was just a formality maamuzi yalishachukuliwa zamani na wakuu wa dunia.

Majesuit wa Julius na Laurian (kupitia mwana wao mpotevu Ben) wakawazidi hoja majesuit wa Polycarp na Mizengo. John akachaguliwa kupeperusha bendera ya CCM. Majesuit wa Polycarp na Laurian wakaona waungane na kuliweka kanisa mbele so kwa pamoja wakamsupport John. Wilbrod nae akaona asipingane na marafiki zake majesuits, so akaikimbia chadema.

Edo akaenda chadema pamoja na Frederick. Wajerumani wakaona waendelee kumsapoti rafiki yao Edo huko chadema. Waingereza hawa kumwamini Edo, so mafreemason wakawa neutral. Baadhi ya maaskofu wachache wakikatoliki waliendelea ku msupport Edo kwenye uchaguzi mkuu. Maaskofu wengi wa kiprotestanti walimsupport Edo. Mashehe walikua wamegawanyika katikati.

So shughuli ile ya uchaguzi wa 2015 ilikua ngumu.
Duh uchambuzi gani huu. Sidhani wala siamini kama ndio ilikua hivyo.
Ninachojua kama ccm inaendelea kukubalika na wana desturi 'sio katiba' kupokezana urais wakristo na waislaam zamu ya wakristo uwezekano mkubwa ni mkatoliki. Ni mkatoliki kwa vile ukatoliki ni zaidi ya nusu ya wakristo wa tanzania.
 
Mkuu we hupendi kusafiri?
Kusafiri inatengemea.
1. Je kuna ulazima gani wa kukufanya kusafiri kila wakati?

2. Huna wasaidizi wa kukuwakilisha kwenye baadhi ya safari zako?

3. Mabalozi wapo kwa ajili ya nini?

4. Gharama za safari utakazotumia wewe na akienda msaidizi wako zitakuwa sawa?

5. Familia bado inajitafuta maskini, bajeti ya familia haiendi bila mikopo na misaada, halafu baba au mama mwenye nyumba unafanya matumizi yasiyo na ulazima, hiyo ni akili ambayo si ya kizalendo, bali ya kifisadi, uvivu wa kuwajibika ofisini na site.
 
Back
Top Bottom