Aliyemtuhumu Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kingu kumshambulia adaiwa kufariki

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
400
1,004

"Watanzania wenzangu mimi nilipigwa tarehe 8/3/2020, nilipigwa na Elibariki Kingu alinipiga nikaenda Mandewa hospitali ya Mkoa, nikaenda Benjamini Mkapa wakanipeleka Muhimbili, nikatibiwa na kufanyiwa operation mbili kichwani, nikaambiwa nirudi mwezi wa 8 lakini sikuweza kurudi kwasababu nilikuwa sina hela.

"Watanzania wenzangu ninaomba mnisaidie kwa yule atakayeguswa anisaidie, mimi sina shida na mtu ninaomba mnisaidie. Elibariki alinipiga bila kosa, mimi sio mwizi na wala sina tatizo lolote, ninaomba mnisaidie."


Pia soma: Ukatili na Unyama wa Mbunge wa CCM Singida Magharibi, Elibariki Kingu wailiza jamii

- Kiongozi wa CHADEMA anayedaiwa kupigwa na kuumizwa na Elibariki Kingu asafirishwa kuelekea Dar kwa matibabu zaidi
 
Back
Top Bottom