Aliyekuambia Kesho kuna 'Droo' nani? Kudadaeki Kesho linakufa Jitu kwa Mkapa na tusikiambiane tu hapa JF sawa?

Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC.

23. 5imba SC.
JamiiForums1683832807.jpg
 
Pamoja na kujua yote haya ila bado tu huachi Kunifuatilia Kutwa hapa JamiiForums. au labda unajua Mimi napenda Machoko?
Derby ni kesho
Ngoja tufanye mchakato ulambe ban

Haliwezi kuwepo tukio kubwa kama derby af wewe uwepo jf unaporomosha matusi na kuandika uzushi kushusha heshima

Kula ban ukae eda mwezi
 
Derby ni kesho
Ngoja tufanye mchakato ulambe ban

Haliwezi kuwepo tukio kubwa kama derby af wewe uwepo jf unaporomosha matusi na kuandika uzushi kushusha heshima

Kula ban ukae eda mwezi
Unatumia nguvu Kubwa sana kutaka kuonyesha Watu hapa kwamba Wewe ni Moderator ili Uogopwe, Idiot nipe hiyo BAN sawa?
 
Back
Top Bottom