Ali Express wanatumia local delivery company gani Tanzania ukitoa Posta?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,820
33,549
Habari wadau.

Nina mzigo wangu nimenunua aliexpress mwezi wa 3.

Mzigo ulisafirishwa kwa Ali express standard shipping. Na nilipewa tracking number.

Nimeutrack mzigo ukaonesha umefika Tanzania kwenye sorting centre na kisha ukakabidhiwa kwa local delivery company.. ambayo hawajaitaja jina lake.

Mpaka leo sijapigiwa simu wala kuletewa mzigo wangu na hiyo local delivery company.

Ningependa kujua local delivery company ambazo ali express wanazitumia ku deliver parcel hapa Tanzania ili nifike ofisini kwao kuulizia mzigo wangu.
 
Supplier anasema msafirishaji ni aliexpress wenyewe kupitia Aliexpress standard shipping.

Hao aliexpress nimewauliza Wanasema aliyepokea ni local delivery company ila hawaitaji jina lake hiyo kampuni
Upo mkoa gan
 
Kuna harufu ya kutapeliwa mkuu...hiyo biashara ni mara Yako ya ngapi kufanya...? Umeshawahi kuagiza bidhaa ikaku ikakufikia...?
 
Habari wadau.

Nina mzigo wangu nimenunua aliexpress mwezi wa 3.

Mzigo ulisafirishwa kwa Ali express standard shipping. Na nilipewa tracking number.

Nimeutrack mzigo ukaonesha umefika Tanzania kwenye sorting centre na kisha ukakabidhiwa kwa local delivery company.. ambayo hawajaitaja jina lake.

Mpaka leo sijapigiwa simu wala kuletewa mzigo wangu na hiyo local delivery company.

Ningependa kujua local delivery company ambazo ali express wanazitumia ku deliver parcel hapa Tanzania ili nifike ofisini kwao kuulizia mzigo wangu.
Habari Boss, pole na majukumu napenda kukupa nafasi ya upendeleo kwako, baada yakuona thread Yako. Mizigo yako inafika ndani ya siku 3-5 tangu kuagiza Kwako Kwa njia ya ndege

Ningependa kukupa fursa yakuagiza nakukuletea bidhaa zako Kwa gharama nafuu kutoka china, uturuki kuja Tz dar

Unaeza agiza nasi hatakama huna pesa kamili sisi tukanunua Kwa niaba yako nakufikisha mzigo hapa nakuja kuufata kwako ndo ukamilishe malipo..

Tunapatikana mkunguni street kariakoo karibu na kituo cha polisi msimbazi B, mm ni Mr Nelson head of operations. Karibu sana chief WhatsApp+255765018958

Tuko kariakoo Msimbazi B karibu na kituo cha polisi.

NB: pole na kadhia uliopata Kwa mzigo wako..tucheck Fago Express
 
Hapa unamchanganya huyu mdau, yeye anataka kujua mzigo wake anaupataje.
Nadhani ungempa mawazo namna ya kufanya.
 
Habari wadau.

Nina mzigo wangu nimenunua aliexpress mwezi wa 3.

Mzigo ulisafirishwa kwa Ali express standard shipping. Na nilipewa tracking number.

Nimeutrack mzigo ukaonesha umefika Tanzania kwenye sorting centre na kisha ukakabidhiwa kwa local delivery company.. ambayo hawajaitaja jina lake.

Mpaka leo sijapigiwa simu wala kuletewa mzigo wangu na hiyo local delivery company.

Ningependa kujua local delivery company ambazo ali express wanazitumia ku deliver parcel hapa Tanzania ili nifike ofisini kwao kuulizia mzigo wangu.
Ym express wale wale wanaktumiwa na kikuu ndii hufanya delivery za aliepy mpaka huko uliko.
 
Supplier anasema msafirishaji ni aliexpress wenyewe kupitia Aliexpress standard shipping.

Hao aliexpress nimewauliza Wanasema aliyepokea ni local delivery company ila hawaitaji jina lake hiyo kampuni
Kama umewahi kuagiza kikuu ni hao hao ndio huleta.. hupiga simu.
 
Kwa experience yangu posta ndio Huwa wanapiga simu unaenda kuchukua mzigo wako posta
 
Hii imeishia vipi? Mzigo uliupata, mimi nimekutana changamoto kama hii, tracking inaonyesha mzigo unasubiri kuchukuliwa lakini hakuna details zozote.
IMG_3570.png
 
Ka aliexpress mzizgo utapokea kwa njia mbili:
Kuna hawa speedaf :
watakupigia simu na kukuletea sehemu ulipo kwa Dar.
Kwa njia ya POSTA
mzigo utaupata kupitia address uliyoandika kwenye app.
Hawa walikuwa wanqpiga simu wakishapokea mzigo wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom