ignatus peter
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 365
- 516
TCC CLUB HAIJAUZWAA....
TAFUTA HABARI ZENYE UHAKIKA MR.
TCC CLUB IMEKODISHWAA TUU.
TAFUTA HABARI ZENYE UHAKIKA MR.
TCC CLUB IMEKODISHWAA TUU.
Yaan nyumba 10 ndio utajiri wa kutisha?.wabongo mnamambo kweli.watu wanamiliki nyumba 100 wewe unasema 10 ndio utajiri wa kutisha.
1.5 Trilion wamegawana wengi, wengine ni akina mulagaSabaya…bilionea
Bashite…bilionea
Mnyeti …bilionea
Hapi…???
…hii ni hatari!
Madc na Marc walifaidi chini ya jiwe!
wanaishi jina la nyerere lakini mioyo yao ipo mbali naye."Wewe mtoto wa masikini hamna biashara yoyote unayofanya ghafla tunakuona unamiliki mali nyingi tusikuhoji? utajiri ilikuwa ni disqualification katika utawala wetu "mwalimu nyerere.
Kuna kesi alifunguliwa mahakamani wakati akiwa DC Hai, baada ya kuharibu mali za Mbowe.Kama kweli kuna ushahidi wowote unaoweza kudhihirisha hawa kina mnyeti, bashite nk kuwa wanamiliki mali zisizolingana na madaraja yao ya mshahara kama watumishi wa umma basi sisi raiya tunaweza kupeleka malalamiko tume ya ya maadili na usimamazi ya watumishi wa umma na hatua zichukuliwe.
ameinunua hiyo club ili kutakatisha mabilioni ya fedha ambayo mwendazake aliyakwapua.Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Mmemkodisha mtu anajenga Hostel , swimming pool halafu mnamlipa nini ?TCC CLUB HAIJAUZWAA....
TAFUTA HABARI ZENYE UHAKIKA MR.
TCC CLUB IMEKODISHWAA TUU.
Nani amkopeshe pesa hiyo,tunajua alivyokua anachukua pesa kwa wamiliki wa migodi mererani pamoja na kutoroshwa madiniNdo alikuwa DC huyu au ni ndugu yake?
Tunaweza kujiuliza ana shughuli gani kwanza inayomuingizia hela?
Hiyo TCC Changombe ilikuwa inauzwa kwa bei gani?
Kuwa na club kama Gwambina itakugharimu pesa ngapi?
Pengine unakuta kachukua mkopo benki.. tujiulize embu
Alikuwa mkuu wa mkoa wenye madini na mmoja wa watendaji waliopewa madaraka kwa ukabila. Alipokuwa Arumeru alikuwa ananunua wale madiwani waliokuwa wanaunga juhudiHuyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Very simple answer: It is through the the five-years darkness - pure heavy looting.Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Kama Mnyeti ndie Gwambina basi huyo ni mkulima mkubwa kwelikweli wa Ufuta,Mahindi nk uliza bonde lote la maji moto(Rukwa) wanamfahamu huyo mtu kwa kilimoNdo alikuwa DC huyu au ni ndugu yake?
Tunaweza kujiuliza ana shughuli gani kwanza inayomuingizia hela?
Hiyo TCC Changombe ilikuwa inauzwa kwa bei gani?
Kuwa na club kama Gwambina itakugharimu pesa ngapi?
Pengine unakuta kachukua mkopo benki.. tujiulize embu
Mleta uzi naye anauliza, wachangiaji nasi tunauliza vilevileNdo alikuwa DC huyu au ni ndugu yake?
Tunaweza kujiuliza ana shughuli gani kwanza inayomuingizia hela?
Hiyo TCC Changombe ilikuwa inauzwa kwa bei gani?
Kuwa na club kama Gwambina itakugharimu pesa ngapi?
Pengine unakuta kachukua mkopo benki.. tujiulize embu
Huyo jamaa ni mkulima mkubwa sana bonde lote la maji moto(Rukwa) anafahamika sanaalitafutia wapi ?
Sikupenda nichangie chochote ila kwa comment hii goja nichangie!Mnyeti ana undugu na JIWE, nilikuwa naongea na ndugu yake mmoja anasema jamaa ni bilionea huyo, ana mpunga wa kutisha!! Nadhani Fedha nyingi walizipata kwa uhalifu kwa kivuli cha Udc au URC!! Hata Ally happy naye ni fisadi wa kutisha ana nyumba karibia 10 za maana!! Ndio maana tulikuwa tunasema kipindi cha mwendazake hao wateule wake walikuwa wapigaji hatari.
Ndiyo maana walikuwa wakali sana. Ukiwagusa tu umeyeyushwa. Jiwe & Company walikuwa hatari.Mnyeti ana undugu na JIWE, nilikuwa naongea na ndugu yake mmoja anasema jamaa ni bilionea huyo, ana mpunga wa kutisha!! Nadhani Fedha nyingi walizipata kwa uhalifu kwa kivuli cha Udc au URC!! Hata Ally happy naye ni fisadi wa kutisha ana nyumba karibia 10 za maana!! Ndio maana tulikuwa tunasema kipindi cha mwendazake hao wateule wake walikuwa wapigaji hatari.