Al Jazeera correspondent's family killed in gaza(air strike)

franckkimm

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
441
854
-AL Jazeera correspondant Wael Dahdouh's wife, daughter and son we're killed when Israel bombed Gaza

- Dahdouh had sent his family to AL CAMP for their safety before they used to live in Gaza city

- His son was final year at University his daughter was only 7years old

- Other members of his family are still missing after the strike
 
-AL Jazeera correspondant wael dahdouh's wife, daughter and son we're killed when Israel bombed Gaza

-dahdouh had sent his family to AL CAMP for their safety

-his son was final year at University
Huyu na wengine wanawindwa wauwawe wao, hata familia zao zimeambulia tu ila roho yake ndio inatafutwa. Pamoja na wengine.

Ukifuatilia kwenye mitandao huko Israel raia walikuwa wanaona namna anavyoreport miaka nenda rudi anaweka chumvi Israel ionekane mbaya kuliko na yupo upande wa Hamas. Kwa kifupi hata yeye ni Hamas, ila tu kwasababu ni mwanahabari.

Kuna kitu kimoja waandishi wa habari huwa wanajiona wao kama special fulani hivi, kama wapo immune na kwasababu wameshika kalamu na kamera wanaona kama ni silaha ukiwachokoza wanakudhalilisha kwa kalamu na kamera. Worse enough majority huwa ni undereducated, wala rushwa, na wanaishi kwa kudanga kama wanawake tu.

Habari yako mbaya iwe ya kweli au ya uongo wanaweza kupiga pesa nayo ili wasiirushe. Wanatumiwa sana na opponents wa watu na wanaamini wapo salama.
 
huyu na wengine wanawindwa wauwawe wao, hata familia zao zimeambulia tu ila roho yake ndio inatafutwa. pamoja na wengine. ukifuatilia kwenye mitandao huko israel raia walikuwa wanaona naman anavyoreport miaka nenda rudi anaweka chumvi israel ionekane mbaya kuliko na yupo upande wa hamas. kwa kifupi hata yeye ni hamas, ila tu kwasababu ni mwanahabari. kuna kitu kimoja waandishi wa habaru huwa wanajiona wao kama special fulani hivi, kama wapo immune na kwasababu wameshika kalamu na kamera wanaona kama ni silaha ukiwachokoza wanakudhalilisha kwa kalamu na kamera. worse enough majority huwa ni undereducated, walarushwa, na wanaishi kwa kudanga kama wanawake tu. habari yako mbaya iwe ya kweli au ya uwongo wanaweza kupiga pesa nayo ili wasiirushe. wanatumiwa sana na opponents wa watu na wanaamini wapo salama.
Mkuu huo urokole wako umekufikisha kwenye hatua mbaya sana.
 
Dogo una miaka mingapi ?
 
Mkuu huo urokole wako umekufikisha kwenye hatua mbaya sana.
kwa habari ya waandishi, nimeongea kwa experience kwasababu nimeshinda nao sana, wameniomba sana pesa na nimejua sana tabia zao, hata wewe unajua hilo kama utakuwa ni mwandishi, kama sio mwandishi subiri kuna siku utawafahamu.

kwa habari ya mwandishi wa palestina, nimereport kile kinachoongelewa sasahivi television za kimataifa, naangalia hapa sasahivi. so its just a report, na waandishi wengine wameeleza kwamba wameanza kuogopa, na al jazeera kwa mfano imepigwa marufuku Israel. uyo mwandishi mwenyewe alijua hilo hata kabla, alihamisha familia yake kwenda kusini, alitaka kuhamishia familia kwa ndugu mwandishi mwenzake, kabla hajafanikiwa kufanya hivyo yakamkuta. shida ipo wapo hapo?
 
Tukio la kinyama sana
ni tukio baya kwa kweli, though na wao walitakiwa wawe makini kwasababu walishaonekana wapo upande wa adui. al jazeera makao yake makuu ni Qatar, pale Qatar ndiko IsmaIL Haniyeh anaishi na amepewa ofisi, he operates from quatar. nikiri kwamba wao wanaonyesha ukweli wote tofauti na BBC, CNN, FOX na wengine wanaoficha kidogo maovu ya waisrael. lakini al jazeera pamoja na kuonyesha ukweli wote dhidi ya wayahudi, hawaonyeshi ukweli wote dhidi ya hamas. hiyo imepelekea shinikizo kubwa sana ndani ya israel kwamba serikali idili nao kama maadui pia. wajaribu kubalance ili tuendelee kuwaona.
 
Mkuu huna haja ya kujitetea kwa sababu michango yako humu unakuonesha ww ni mtu wa aina gani.

Ww ulipo sema kuwa huyo mwaandishi naye ni Hamas kwa hiyo anatakiwa kuuawa ulikuwa umefumba macho?

Mkuu ebu jaribu kuwa na utu hata chembe, mwenyezi Mungu kuyafanya maisha kuwa fumbo alikuwa na maana kubwa sana, uhijui kesho yako ww,wenda wanacho kipitia wapalestina unaweza jikuta ww na watoto wako mnakipitia maana siasa hazijawahi kueleweka.

Ww leo unawadhihaki wapalestina kwa kupigwa mabomu kisa kupinga ukoloni wa Israel , lakini hata ww na watoto wako ipo siku mnaweza jikuta minapigwa mabomu kwa kupinga ukoloni wa CCM.
 
Dah haya mambo yasikie tu kwa mwenzako najaribu kujiweka kwenye nafasi ya huyo jamaa nashindwa hata nisemeje.

unakuta hamas walipita hapo mchana wakaomba maji ya kunywa wakapewa.story mbili israel wakajua ahaa wanawalinda ndo maana wakashusha bomb.

ila inauma kwa kweli. na hupati mda wa kuzika mkikusanyika kutaka kuzika rada zinaona hamas waleee wanashusha tena mabom inakuwa msiba juu ya msiba.
 
ni tukio baya kwa kweli, though na wao walitakiwa wawe makini kwasababu walishaonekana wapo upande wa adui. al jazeera makao yake makuu ni Qatar, pale Qatar ndiko IsmaIL Haniyeh anaishi na amepewa ofisi, he operates from quatar. nikiri kwamba wao wanaonyesha ukweli wote tofauti na BBC, CNN, FOX na wengine wanaoficha kidogo maovu ya waisrael. lakini al jazeera pamoja na kuonyesha ukweli wote dhidi ya wayahudi, hawaonyeshi ukweli wote dhidi ya hamas. hiyo imepelekea shinikizo kubwa sana ndani ya israel kwamba serikali idili nao kama maadui pia. wajaribu kubalance ili tuendelee kuwaona.
Kwa ukubwa wa Jeshi la Israel na US kuuwa Wanawake na Watoto ni jambo la kipumbavu sana aiseee!
 
Mkuu huna haja ya kujitetea kwa sababu michango yako humu unakuonesha ww ni mtu wa aina gani.

Ww ulipo sema kuwa huyo mwaandishi naye ni Hamas kwa hiyo anatakiwa kuuawa ulikuwa umefumba macho?

Mkuu ebu jaribu kuwa na utu hata chembe, mwenyezi Mungu kuyafanya maisha kuwa fumbo alikuwa na maana kubwa sana, uhijui kesho yako ww,wenda wanacho kipitia wapalestina unaweza jikuta ww na watoto wako mnakipitia maana siasa hazijawahi kueleweka.

Ww leo unawadhihaki wapalestina kwa kupigwa mabomu kisa kupinga ukoloni wa Israel , lakini hata ww na watoto wako ipo siku mnaweza jikuta minapigwa mabomu kwa kupinga ukoloni wa CCM.
rudi kasome kwanza nilipochangia, halafu onyesha wapi nimesema anafaa kuuawa. usipopaona jua wewe ni mropokaji.

pili, Hamas ni kama chama, na ndio wanatawala Gaza, walichaguliwa kabisa na wananchi. familia ya yule mwandishi ni watu maarufu sana pale Gaza na huyo hajaanza kutangaza al jazeera juzi, ni wa kitambo na ni senior mwandishi. hajaanza kufuatiliwa leo na selection hadi wakadhuru familia yake hawakua wanatafutiza, walijua wanachokifanya na walidhamiria, na alishaonywa mara nyingi. niseme wazi nimemwonea huruma sana alipoonekana kubeba kale katoto kadogo kalikokufa ambako ni katoto kake, kijana wake amelala chini ashakufa, kapoteza na mke. hakuna anayefurahia hilo. ila jua Israel wanatafuta senior members wa hamas, na kuwa hamas kama raia sio kosa, ila hamas kama kiongozi kwangu mimi ndio ningeona ni kosa. yeye kama raia wa kawaida, mpiga kura wa gaza, kuwa hamas sio kosa, na kumwita hamas sio kusema auawe. kwani wewe huwezi kuwa mfuasi wa chama pinzani? huwezi kuwa chadema au ACT au chochote? hujui kama hamas wanaoperate kama chama cha kisiasa na gaza waliwachagua against chama chengine?
 
Kwa ukubwa wa Jeshi la Israel na US kuuwa Wanawake na Watoto ni jambo la kipumbavu sana aiseee!
hizo ni collateral damage, matokeo ya kivita. ukipiga bom kuua menge, jua hata sisimizi watakufa. kinachotakiwa sasaivi hamas waachie mateka wote 200 ili cease fire ifanyike, la sivyo israel ana hasira nao sana na watu wengi watakufa.
 
Sidhani kama ataendelea kuangaliwa tu akiuwa Wanawake na Watoto
 
nani wa kumfanya nini? wakati US ametoa go ahead na hamzuii na amesema kama hamas hawatarudisha mateka hata ground assault iendelee tu. hakuna nchi ya kuingilia kati, nchi za kiarabu hazina uwezo wala ujasiri na marekani na UK wameweka mavifaa yao pale tayari kwa lolote. Mkuu wa UN ameambiwa ajiuluzu na foreign minister wa israel alitakiwa akutane naya amemtupilia mbali. jamaa wajeuri balaa.
 
Back
Top Bottom