solow swan
Member
- Jul 18, 2023
- 8
- 4
Je labour market Kwa shahada ya uchumi lipoje Wana JF??
Thanks for feedbackSikukatishi tamaa ila kama huna connection, huna uchawi, huna rich powerful ancle mjini basi karibu kwenye umachinga au ubodaboda usogeze siku la sivyo utaitwa omba omba uzarauliwe hata na hausi geri