Airtel, Tigo, Hatoltel, Vodacom na TTCL zapigwa faini ya Tsh. Bilioni 2 kwa kukiuka Sheria za Usajili Laini za Simu

Hatari sana yaan foleni yake unaenda saa 10 jioni unatoka 3 usiku ukiuliza nini unaambiwa network majanga
Kinondoni tulikua tunapanga foleni pale Mwanamboka nyuma ya sheli au Mwananyamala komakoma kwa Bi Ashura.

kuna siku nilipanga foleni masaa matatu alafu naenda kujaza Luku kadi aipunch.home watu washashika limoti wananusibiri nijaze umeme waangalie maigizo ya Mambo hayo,ilikua balaa kubwa siku iyo.
 
😂😂😂 Acha kabisa yaan sio mchezo watu hawakuelewi
 
😂😂😂 Acha kabisa yaan sio mchezo watu hawakuelewi
unajua walihisi nimekula hela alafu nikaleta kadi ya uongo.

antena ya miba ishazungushwa ipo stand bay kumuangalia Swebe,watu wanasubiri nijaze umeme.eti kadi imegoma,,aisee walinikata jicho kali sana wakaanza kunishambulia kwa maaneno.
 
Back
Top Bottom