Agiza Mashine za kutengenezea mkaa wa taka kutoka China to Tanzania.Na uanze kuatengeneza pesa

Aug 24, 2021
27
16
Mashine za kutengeneza mkaa wa taka zinarahisisha sana Maisha ya wajasiriamali mbali mbali.
Piga 0756 591 943. Tukuletee mashine hadi nyumbani.


Tukianza na taka zinazotumika kutengenezea mkaa kwenye izi mashine.

Ni taka kama:

Biomass shells: Coffee husk, olive shells, palm shells, bamboo, rice husks, sawdust, wood, plant stalks…
2. Sludge: Municipal sludge, River sludge, Domestic sludge…
3. Waste: Domestic waste, Industrial waste, electronic waste.

Kwa Kiswahili;

Maganda ya majani, Maganda ya kahawa, maganda ya mizeituni, sheli za mitende,

Mianzi, maganda ya mpunga, vumbi la mbao,mbao, mabua ya mimea, Tope(sludge), Tope la manespaa, tope la kwenye mito, tope la nyumbani, taka,Taka za nyumbani, taka za viwandani, taka za mabaki ya vifaa vya umeme.

Na nini utakachokipata?.

Baada ya taka zote kuvunjwa na joto la hali ya juu. Utakacho kipata hapo ni man made carbon(kaboni iliotengenezwa na mwanadamu) kaboni yenye asilimia Zaidi ya 90. ukilinganisha na ile inayotoka kwenye mkaa wa kawaida. Kwa mahesabu ya kawaida ni Zaidi ya mara mbili ya kaboni inayotoka kwenye mkaa wa kawaida.

Na kingine utakachopata ni lami, mbao,gesi zinazowaka na siki, utavipata kwenye huu mfumo mzima wa kuchoma izo taka.

Mashine hii ipo: kubwa ambayo inahitaji wataalam waje kukufungia. Na pia wataalam hao watakupa mafunzo ya mda mfupi, jinsi ya kutumia mashine hiyo.

Kwa wale wanao hitaji mahesabu kamili ya jinsi mashine hii inavofanya kazi na gharama zake:

  • Umeme

  • Kwa siku inatumia unit(840kwh)

  • Na mafuta litre elfu hamsini(50,000).

  • Wafanyakazi utakao waajiri hawataziti watano.

  • Lita elfu moja na mia tano za maji(1500 litres).

  • Inahitaji uwe muwekezaji mkubwa ambae yupo tayari kuwekeza kwenye hii mashine.
  • Na faida utakayoipata ni Zaidi ya mara mbili/tatu ya kile utakacho wekeza.
  • Jiunge group letu la telegram tukujulishe zaidi kuhusu mashine zitakazoweza kukurahisishia kazi.(Telegram group)
  • mashineYaMkaa.JPG
 
Back
Top Bottom