Agent in clearing

m-yala

Member
May 13, 2014
69
69
Naitwa cecylia ni Agent nafanya clearing ya magari na container kwa bei nzuri bandarini.

Nafanya importation, exportation na pia nauza magari used na chassis no. Nauza magari ya mnada bandarini pia natoa huduma ya madereva wa IT wa kupeleka magari mipakani mpaka nchi jirani Zimbabwe, Zambia, Malawi na congo.

Nauza container za 20 feet na 40 feet kwa bei nzuri.

0764423726 wasap available 24/7
 
Ule uzi wako wa kwanza umeukimbia?, kampuni yako inaitwaje na inapatikana wapi?
 
Ule uzi wako wa kwanza umeukimbia?, kampuni yako inaitwaje na inapatikana wapi?
Niukimbie huo uzi ili iweje mkuu? Huenda sikuon msg, kampuni iko mnazi mmoja . karibu kwa mawasiliano zaid 0764423726
 
Mtu makini na kazi angeacha hizo mbwembwe zote angetaja jina kampuni angeeleweka
 
Back
Top Bottom