Agawana vitu nusu kwa nusu na mkewe

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,969
15,507
Si unasema umepinda basi kuna mwana huko Ujerumani amenyongoroteka kabisaa

Baada ya miaka 12 ya mahusiano na mpenzi wake ...mwishowe mwanamke akaomba waachane akaenda mahakamani akidai apewe talaka na agawane nusu kwa nusu mali zote wanazomiliki na mumewe....mahakamani ikaamuru hivyo watengane na kila mmoja achukue nusu ya mali

Alichokifanya mwanaume ni kwenda kununua msumeno mzuri kabisa Kisha akanza kuvigawa nusu kwa nusu kila walichokuwa wanamiliki.....akaligawa gari vipande, kitanda, laptop , Hadi simu, hadi mdoli aliugawa nusu

Jamaa kazingua au alikuwa sahihi?

IMG-20240422-WA0001.jpg
IMG-20240421-WA0092.jpg
IMG-20240422-WA0004.jpg
IMG-20240421-WA0093.jpg
IMG-20240430-WA0233.jpg
IMG-20240430-WA0234.jpg
IMG-20240430-WA0231.jpg
 
Naendelelea kupitia huo mgao gari haijagawanywa vizuri maana kuna atakayepata mashine nzimanzima. Hapo labda agawe vipande vinne
 
Back
Top Bottom