Afrika Kusini wajanja sana kwenye moves za dancing

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,807
45,481
Unajua me mtu wa vibe maisha na mziki muda wote sasa mimi Sina kipaji cha kucheza najua kwaito tu sasa wasouth kila siku wanaleta style mpya.

Kuna hii ya amapiano ya tshwala bami una shake tu mabega hata kana hujui kucheza hii haikushindi.

Vibe na style hii huiwezi basi we ni kilaza.

Screenshot_20240318-001638.png
Screenshot_20240318-001638.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom