Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 5,396
- 9,322
Kweli kabisa the freedom ni mtu asiye na makuu ukipm anakujibu kwa wakati bila maringoUzi mzuri mkuu. Sema tatizo la hackers wa tz ni wanajisikia na wanaringa + uchoyoo ndo maana hatuendelei. Wenzetu wanaushirikiano kutufunza hata sisi angalau hata ka programming hata intro tu.. ila sisi ndo roho ya korosho sana
Hao uliowatag rootadmin na Thefreedom nawakubali sana hasa huyu jamaa anajiita Thefreedom mshikaji peace saana hajisikiiii, sio mchoyo na hivi ndo tunatakiwa kuwa.
Pamoja we can chalii zangu. Tusaidiane bana ambao tunahitaji hata mwanga wa haya mambo