Adobe reader

Betri yenye chaji

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
743
637
Salam wakuu. Lmekuwa tatizo kubwa kwenye pc yangu, icon zote zmebadilika kuwa adobe reader nikijaribu kuunstall hiyo adobe znakuwa safi, nmejaribu kwenda kwnye default program pia nmeshndwa, naombeni msaada tafadhali
 
Acrobat Help / Application, file icons change to Acrobat/Reader icon

Application, file icons change to Acrobat/Reader icon

Apply the applicable registry fixes available at the following links:

  1. Download and save the applicable file: Windows Vista or Windows 7.
  2. Unzip (extract) the contents (.reg file) to the desktop.
  3. Make sure that you have administrative privileges. Then, right-click the .reg file and select Merge.
  4. Restart the computer.
  5. If issue persists, proceed to Solution 2.
    Katika hiyo link hapo juu kuna solution tatu au nne hivi, hii niliyo - paste hapo ndo niliyowahi itumia nilipokuwa na shida kama yako. Goodluck!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom