Joyce joyce
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 457
- 1,973
Mkuu Kwa hiyo wewe unakubali kuwa kuna Jambo la aibu limetokea ila utaona sio kitu, ile ni aibu kubwa Mkuu, ni Aibu Ya Karine na kuna Jambo la MUNGU hapo ni ishara kuwa MUNGU hana Baraka na udhalimu unaofanywa Ndugu na huenda kukaja kutokea Jambo baya zaid na kupelekea hali ikabadilika watu wakaachwa midomo wazi, Mkuu MUNGU anambinu zake zakuwwadhibu watu wanaojificha kwenye pesa na kwenye bunduki za ummaMbasha mlevi kalewa huyo, analeta masihara kwenye kazi za watu. Alistahili kichapo.
BTW hawajapigana ila Mbasha kapigwa teke la mguu na wala hakuna issue hapo yeye ka take easy kasepa jukwaani.
Ila kwa vile nyumbu kila jambo mnataka kupata kiki tayari mmeona issue