300 tons of honey and 16 tons of beeswax available for sale

JF Marketer

Member
Jan 3, 2009
80
34
Asali safi toka misitu ya Tabora (Sikonge na Urambo) iliyolinwa na kuchakatwa kwa kufuata kanuni za usalama na ubora, isiyo na harufu ya moshi au chembechembe za masalia ya uchafu wowote ule inapatikana sasa.

Asali hii inafaa kwa kupelekwa nje ya nchi au kwa matumizi ya mezani (table honey). Ina kumbukumbu muhimu kama inavyotakikana na EC 178/2002 na American Bioterrorism Act 2002.

Tani 16 za nta pia zinapatikana

Kwa manunuzi wasiliana na:

Leah Mdeme,
Igona Bapina Beekeepers Cooperative Ltd
0769 587189
 
Back
Top Bottom