1bedroom House !

Barelawyer

Senior Member
Oct 11, 2012
195
68
Haya sasa hii ni chumba sebule,
INA ka jiko kwa pembeni...

Chumba yake INA choo kwa ndani ...
Ni nyumba mpyaa ...

Parking hata kama una gari 3 !!

IPO Makongo Juu... Ya Dar Es ...
Umbali mfupi toka stand ya Bus ..

Umeme ni wa Meter Luku,
Kazi ni kwako yaan umeme unajitegemea ..
Maji ni ya bomba, bwerere hadi ndani ....
Kupika kuoga ni ndani ...
Kodi yake ni tshs. 200,000/=

Wee iwahi tuu ...
Story zaidi hapa +255783547184;


IMG_20191229_141544_4.jpeg
IMG_20191229_141442_7.jpeg
IMG_20191229_141459_4.jpeg
IMG_20191229_141420_7.jpeg
IMG_20191229_141459_4.jpeg
IMG_20191229_141434_4.jpeg
IMG_20191229_141420_7.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom