rais

  1. Kiboko ya Jiwe

    Kilichobaki sasa kwa Makonda ni kumpa maagizo Rais wetu

    Kwa tulicheza mgambo, sungusungu, scout n.k lazima tufundishwe kasomo kadogo kanaitwa Chain of command. Mdogo hupokea amri kwa mkubwa huku mkubwa na kutekeleza huku mkubwa akiendelea kuwa na authority ya kuwa na mamlaka ya kutoa amri na tena na tena. Majaliwa Waziri mkuu tayari ameshapokea amri...
  2. BARD AI

    Mtazamo wangu kuhusu Mahojiano aliyofanyiwa Rais Putin

    https://twitter.com/TuckerCarlson/status/1755734526678925682?t=UwfeRAPB-CHAYR0o6V6Jig&s=19 -Putin anajua historia sana -Putin anaendesha ndege ya kiakili juu ya wanasiasa wote wa Amerika -Putin anaonekana kutaka ushirikiano lakini nchi za Magharibi zimeitenga Urusi -Putin hataki kuivamia Poland...
  3. R

    Rais wa Poland kuwasili nchini kwa ziara ya siku mbili tarehe 8-9 February 2024

    Rais wa Jamhuri ya Poland, Andrzej Duda Rais wa Jamhuri ya Poland, Andrzej Duda anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku mbili kuanzia tarehe 8-9 February, 2024. Mh. Duja atawasili nchini tarehe 8 February, 2024 akiambatana na mwenza wake Bi. Agata Kornhauser-Duda na atapokelewa...
  4. Mjanja M1

    Majaliwa: Suala la Picha ya Rais Samia kuwekwa kwenye fedha litajadiliwa

    Akijibu hoja ya Ng'wasi Kamani kuhusu kuwekwa kwa picha ya Rais Samia kwenye fedha zetu Bungeni leo, PM Majaliwa amesema suala hilo litajadiliwa kwa kina. "Maamuzi ya kuweka picha kwenye noti mara nyingi yanafanywa na kiongozi mwenyewe kwa kushauriana na Benki Kuu, kwa kuwa umelileta hili na...
  5. L

    Afadhali Rais Samia ana roho nzuri na ni mpenda watu, la sivyo wengi wangeshaumizwa na Serikali yake

    Yaani isingekwa hivyo mpaka sasa watu wengi sana wangekuwa wameshaumizwa na Serikali yake. Ona Makonda anavyowachomea watu kwa wazi wazi - ingekuwa kipindi cha JPM wangekuwa wanakamatwa hapo hapo au kutumbuliwa, bila hata undani wa kujua anayowachongea kwaye yana ukweli au hapana. Mama Samia...
  6. ChoiceVariable

    Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania

    Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania ili kutunza kumbukumbu na alama muhimu ya Maendeleo ya Nchi yetu. BoT fanyeni haraka wazo hili. === Mhe. Waziri Mkuu mwaka 2006 Bunge hili lilipitisha sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya kuipa mamlaka benki hii...
  7. R

    TANESCO ni wakaidi na wana kiburi mbele ya Rais na Wananchi wake kwa kauli zinazokinzana kila siku na kuendelea ukataji wa umeme

    Awa jamaa mie nadha nia na madhumuni ki kumchafua Rais Samia Suluhu na Doto Biteko. Haiwezekani Taasisi inasemwa kila sehemu kuanzia Bungeni, mitaani, kwenye mitandao, nyumba za ibada lakini jamaa hawajigusi wanaendelea na mgao kama kawa. Na mie nasema wanafanya makusudi kwa kuwa atakuja mjinga...
  8. Roving Journalist

    Rais Samia: Uchaguzi utakuwa huru na wa haki

    https://www.youtube.com/watch?v=st-YFWzMvWQ RAIS SAMIA: UCHAGUZI UTAKUWA HURU NA WA HAKI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema haki, demokrasia, sheria na utawala bora utadumishwa kwa watu wote wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika...
  9. Kiboko ya Jiwe

    Huu ndio ukweli: Hakuna kiongozi mteule anayemuogopa Rais Samia

    •Wangekuwa wanamwogopa huu mgao wa umeme wangeudhibiti mapema. •Wangekuwa wanamwogopa wale mafisadi aliowawaambia wampishe baada ya madudu ya ripoti ya CAG wangempisha haraka lakini hakuna hata mmoja aliyempisha. Kwa tafsiri ya Maandiko matakatifu kuogopa maana yake ni kuheshimu. Hivyo...
Back
Top Bottom