Juzi hapa nilifanya marudio ya mechi ya Simba vs ASEC Mimosas ili nijiridhishe baadhi ya vitu.
Moja ya jambo nililogundua na kunishangaza katika marudio ni kugundua kuwa Moses Phiri aliingia dakika ya 59 ya mchezo na alikuja kugusa mpira wake wa kwanza dakika ya 76. Imenikumbusha mechi ya...
Kwanza nikiri kabisa nimewahi kumuona Kibu Dee laiv pale Sokoine uwanja wa Mbeya, ni mchezaji mzuri sana mwenye nguvu, spidi, akili, n.k. ila huyu wanaweza kummudu kimtindo jumapili.
Kwa Chama nae sio kitisho mbele ya watu kama Yao Yao.
Ila kuna huyu Noses Phiri sio wa kumchukulia poa hata...
GENTAMYCINE nimeandika Threads za kutosha hapa Kuuonya Uongozi wa Simba SC juu ya Kocha Mkuu Roberto Oliveira anachomfanyia Mshambuliaji wangu Bora ndani ya Simba SC Moses Phiri ila nikapuuzwa.
Mpaka nikaja hapa JamiiForums Kumuonya Kiongozi Mmoja Mwandamizi wa Simba SC kuwa Yeye ndiyo...
Hili jambo nililiona siku nyingi za nyuma nikaamua kulikaushia ila ngoja tu leo niliseme. Ukipitia profile za wachezaji wote wa Simba katika website ya timu, Moses Phiri ndiye mchezaji ambaye ana taarifa fupi na chache kuliko mchezaji yoyote.
Wakati wachezaji wengine katika profile zao...
Yaani kabisa GENTAMYCINE na wana Simba SC Wengine akina rodrick alexander na SAGAI GALGANO tukupiganie halafu Usisikike na Usifanikiwe au Usilishinde tatizo lako linalokukabili?
Sasa Phiri anacheza nina Furaha mno kwani ndiyo Mshambuliaji wangu bora kuliko Wote Kikosini Simba SC.
Huyu kocha wa Simba mimi sijawahi kumuelewa. Binafsi huwa sipendi watu wenye maneno mengi kuliko vitendo. Huyu Babu anaonekana kuwa na chuki wa wachezaji na kuwabagua.
Ndio maana ujio wake pale Simba umeua viwango vya wachezaji. Bocco ametoka kuwa goli zaidi ya 10 na kudorora, Sakho hakuwahi...
Haiwezekani anaingizwa Mzee John Boko halafu Moses Phiri mwenye kila kitu anakalishwa Benchi.
Wewe Kiongozi Mwandamizi ndani ya Simba SC jana ulikuwepo GENTAMYCINE nakuonya acha chuki zako kwa Phiri kwakuwa tu alikataa kukupa 10% sawa?
Haya mambo ya kuzunguka zunguka hayafai kwa sababu muda unaenda kasi sana.
Siwezi kujifanya sijashtuka Phiri kukalia bench dakika 90. Ni uongo. Kila mtu kaona kikosi cha kwanza huku majembe mengine yakiwa pale bench. Baadae wakapewa nafasi wachezaji wa kawaida na wakali kama kina Ngoma. Halafu...
Yuko wapi Moses Phiri? Mbona siku hizi hasikiki tena. Bado ni majeruhi au. Nimecheka kwa uzuni kabisa [emoji12][emoji2][emoji14][emoji28]
Tulipo wambia acheni kumlinganisha Mayele na Moses Phiri tulikuwa tuna sababu kubwa
Na sababu moja ni hii tuliona huyu bwana akianza kukabwa vizuri na...
Kama kuna jambo limevuruga ustawi wa Simba msimu huu ilikuwa ni majeraha ya Moses Phiri. Ilichukua muda Simba kujijenga bila uwepo wake ukichukulia tayari alikuwa tegemeo la kwanza katika timu katika ufungaji wa magoli.
Baada ya kupona, Simba walikuwa wavumilivu sana katika kumrudisha kikosini...
Kinachomgharimu Moses Phiri ni kutokubali kwanba Mshindani wake Fiston Mayele yuko kwenye Njia ( Relini ) Kiufungaji kutokana na Kuizoea Ligi Kuu ya Tanzania kulko Yeye Mgeni.
Matokeo yake sasa Moses Phiri analazimika kutumia Nguvu Kubwa Kushindwana Kiufungaji n Fiston Mayele matokeo yake...
Tukiwa tunaelekea 23/10 "Wazee wa Historia" A.K.A Mabingwa wa Kihistoria naomba niwajuze historia hii!
Moses Phiri ambaye nchini Zambia hutambulika kama "Moses of Our Time" na akiwa Tanzania kama "General", rekodi zake katika vitabu vya "Historia" zinaogofya mno! Kwanini nasema hivyo, ungana...
Kama Moses Phiri ataendelea na moto huu huu maana yake hatumhtaj manzoki kwa sasa.
PHIRI ameonyesha ni goal scorer mzuri. Kufika January tutaona mwenendo wake lakini anaonyesha ni mzuri wa kujiposition, CHAMA asiumie tu.
SIMBA NGUVU MOJA
Moja kati ya washambuliaji wasio na mbwembwe wala maneno mengi. Muonekano wa upole lakini killer haswa.
Anageuka haraka, anakimbia na mpira, anatoa pasi, anakaa kwenye nafasi na anajua kuzipasia nyavu.
Hasikiki sana wala hashangilii kwa makeke kama yule wa Congo lakini matokeo yanaonekana...
DEADLINE DAY| MOSES PHIRI TRANSFER 🚨
↪️The last updates from my sources in Zambia firmly believe Moses Phiri is joining Simba Sports Club of Dar Es Salaam in the summer window
↪️As reported before, Phiri has a pre contract with the Reds of Kariakoo, his side also highly respect the agreements...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.